Anayekumbuka namna Dr Shein alivyo teuliwa kuwa Makamu wa Rais tafadhali atueleze

Ki utaratibu ukishasema kwa mujibu wa Katiba unataja Section unayokusudia kuwa reference ili kuthibitisha madai yako
Kwa mujibu wa katiba hata huyu anayejiita Rais ni kaimu tu, alipaswa kushikilia ofisi kwa muda wa siku 90 tu kisha aitishe uchaguzi.

Huwezi kukaimu nafasi kwa miaka minne, ila wanatake advantage ya vilaza wengi nchi hii... kila kitu ni hisani akiona inafaa!!
 
Back
Top Bottom