Yes Dar Leo, kitambo sana
Umenikumbusha mbali sana mkuu
Halafu hapo gazeti ni Dar Leo sio Habari Leo nadhani
Kudos sana
Umenikumbusha mbali sana mkuu
Halafu hapo gazeti ni Dar Leo sio Habari Leo nadhani
Kudos sana
Kwa mujibu wa katiba hata huyu anayejiita Rais ni kaimu tu, alipaswa kushikilia ofisi kwa muda wa siku 90 tu kisha aitishe uchaguzi.
Huwezi kukaimu nafasi kwa miaka minne, ila wanatake advantage ya vilaza wengi nchi hii... kila kitu ni hisani akiona inafaa!!