Anayejua vizuri kuhusu Helping hand international tafadhar

Lububi

JF-Expert Member
May 3, 2013
2,123
3,736
Ninaposoma kuhusu hii NGO sielewi vzuri namna inavyonufaisha mwanachama. Mwenye mawasiliano yao au ufafanuz anijuze.
 
Ni kama ile biashara ya forever living na nyingine kama hizo, yaani wewe unatoa 90,000/= unapewa uanachama halafu unatafuta member wawili wanajiunga nao wanatafuta wengine nawe pia unaendelea kuingiza wengine kadri unavyokuwa na chain kubwa ndivyo unavyo nufaika kwa kiapato na zawadi nyingine.
 
Back
Top Bottom