Anayejua matawi ya Western Union

MR LINKO

JF-Expert Member
Aug 20, 2016
3,034
3,480
Habari za kwenu wajombaa

Leo nilikuwa naomba tushirikishane kuhusu hizo branch za western uniuon hasa kwenye maeneo ya gongo la mboto kama yapo.

Na kama kuna naeneo karibu na town au bank inayo toa huduma.

Nimejaribu kuangalia,maeneo kwenye ramani ila naona ni mbali kidogo

Screenshot_20191007-203030.jpeg
 
Habari za kwenu wajombaa

Leo nilikuwa naomba tushirikishane kuhusu hizo branch za western uniuon hasa kwenye maeneo ya gongo la mboto kama yapo.

Na kama kuna naeneo karibu na town au bank inayo toa huduma.

Nimejaribu kuangalia,maeneo kwenye ramani ila naona ni mbali kidogo

View attachment 1226174
Tembelea crdb bank tawi la azikiwe... Nahisi niliwahi kuona bango pale
 
Mzee benki nyingi sana zinatoa huduma ya Western Union, tafuta benki ya Posta wanatoa hiyo huduma karibu matawi yake yote
 
Back
Top Bottom