kamandawasua
JF-Expert Member
- Jun 6, 2013
- 326
- 86
Yaani toka mwezi wa nne nimeapply NACTE ila mpaka leo nasubiri. Utazani nasubiri UZIMA WA MILELE.
Nimebadilisha machaguo mara zaidi kumi. Bado matokeo hayatolewi tuu.
Jamani kuna yeyote mwenye kujua uchaguzi wa chuo cha ardhi umetoka au ndo niendelee kusubiri mpaka lini?
Ni hayo tuu.
Wafuatiliaji.