M Man tindwa JF-Expert Member Joined Aug 3, 2013 Posts 301 Reaction score 43 May 7, 2014 #1 Nilikuwa nauliza kuhusu hawa jamaa, kuna watu washakuwa shortlisted CFAO motors kwenye sales representative post na TBS quality assurance post? Natanguliza shukrani.
Nilikuwa nauliza kuhusu hawa jamaa, kuna watu washakuwa shortlisted CFAO motors kwenye sales representative post na TBS quality assurance post? Natanguliza shukrani.
R ron90hamilton Member Joined Mar 21, 2014 Posts 11 Reaction score 0 May 7, 2014 #2 Dah! Hata mimi nili apply hiyo position ya sales representative ila mpaka leo sijapata feedback.
frankchelsea Member Joined Oct 25, 2013 Posts 44 Reaction score 3 May 7, 2014 #3 mwenye update.jaman kama ukipigiwa simu
M msa4 Member Joined Mar 22, 2014 Posts 13 Reaction score 1 May 7, 2014 #4 For sure bilabila mpaka leo sijui tuwasikilizie wadau pengine kuna mwenye update!