Anayejua base speaker nzuri asisaidie

Anayejua base speaker nzuri asisaidie

Inkotanyi 94

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
2,244
Reaction score
4,030
Habar za humu watu wa Mungu.
Aulizae hapotei!
Nahitaji taarifa za kiteknolojia kuhusu speaker kubwa ya bass kuunga nguvu na vifaa vingine nikivyonavyo kwa mziki wa ukumbi. Mziki mkubwa.
Nimeshauriwa fed ex bila maelezo ya kiulinganifu.
Nitashukuru kwa wataalam na wajuvi wa hili kama ambavyo humu hapajawai nikosesha jibu.
Kwa dar nikijua na bei au duka nitashukuru.
Thanks in advance!
 
Base au bass?
Kama ni bass basi mtafute huyu mtu ndio mambo yake. Yuko Dar 0718 496 893
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom