Anayejua anipe ujuzi.

Anayejua anipe ujuzi.

Tanki

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2013
Posts
538
Reaction score
248
Wakuu, nina Batery kubwa ya gari kama ile ya TREKTA au ya SCANIA, arafu pia nina Laptop yangu. Sasa nataka niitumie hii Laptop kwa kutumia hii Baterry. Je, kuna kifaa cha kuongezea hapo ili connection iweze kufanya kazi?.
 
Inverter nunua kisha utaelekezwa jinsi ya kufanya inauzwa kanzia 45 mpaka 60 ,fundi umeme naonge, kama unanyumba niambie.

Kwa nn unataka kutumia Nishati hiyo ya umeme?
 
mkuu, hakuna namna nyingine ya kufanya hadi nitumie Inveter? . Nipe ujuzi mkuu
 
Kwa nn unataka kutumia Nishati hiyo ya umeme?

Ndugu yangu, huku nilipo sasa hivi umeme bado haujafika, ndiyo maana natafuta njia mbadala ili mambo yangu yaende.
 
au hata power backup zile za computer zinakufaa. wanaita UPs. huwa zinakuja na battery ndogo kama ya pikipiki ya 24Ah. sasa ukiunga hiyoo yako itakuchukua muda mrefu kabla ya kurecharge. hizi si lazima upate mpya hata maofisini huwa zinakufa sana na kuzitupa. kufa yake maana yake battery tu imekufa, we ukipata weka battery lako....
 
Well, kama laptop yako ni 12v DC unaweza tafuta cable yenye jack sawa na hiyo laptop na uka connect direct kwenye battery terminals without having inveter in between.

Lakini kama laptop ni above 12v, ni lazima ununue inveter ili ku change DC to AC ili ucconect laptop power adapter

Utakapoamua kununua inveter, hakikisha unanunua sign wave inveter with atleast 150watts, don't buy chinise, indian mades are in best quality

Back
Top Bottom