manutddevil
Member
- Apr 22, 2012
- 5
- 0
gamba nnHizi post zenu nyingi na vichwa vya habari haziendani kabisa, uwe unakula mchana kabla hujaposti kitu chochote ili akili zako zikae sawa na ujue unachokiandika sio unakimbilia kupost kama Pasco
Mkuu ahsante kwa taarifa hii kwani inazidi kunipa uhakika kuwa sasa Wanyiramba na Wanyisanzu wanataka ukombozi wa kweli. Pia mpe hizi salam fataki Mwigulu na Salome.Habari kutoka chanzo cha kuaminika zinasema kuwa, mzee mmmoja anayejulikana kwa jina la Nzuankende Kitundu almaarufu kwa jina la MBUNGE wa Kijiji cha misigiri wilayani Iramba mkoani Singida amehama chama chake cha CCM na kuhamia CHADEMA.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa Mbunge huyo zinasema kuwa amehamia CHADEMA kutokana na tohuma mbalimbali za ufisadi zinazoelekezwa CCM ambazo yeye aliziita ni za kweli.
Aidha Mbunge huyo aliendelea kusema kuwa wakati umefika sasa wa Ukombozi wa Taifa la Tanzania na hivyo kutoa wito kwa watanzania wote wenye mapenzi ya dhati na Taifa hili kuhamia CHADEMA kwani wameonesha wana nia ya Dhati ya ukombozi wa Watanzania.
usijali ndugu salamu zako zitafika kama zilivyoMkuu ahsante kwa taarifa hii kwani inazidi kunipa uhakika kuwa sasa Wanyiramba na Wanyisanzu wanataka ukombozi wa kweli. Pia mpe hizi salam fataki Mwigulu na Salome.
Mkuu ahsante kwa taarifa hii kwani inazidi kunipa uhakika kuwa sasa Wanyiramba na Wanyisanzu wanataka ukombozi wa kweli. Pia mpe hizi salam fataki Mwigulu na Salome.
Frankly naomba ku-declare kuwa, SIZIPENDI THREAD ZA NAMNA HII! hivi karibuni kuna mwingine alianzisha NAPE ahamia chadema... kwanini usiwe direct katika unachotaka kukisema badala ya ku-play na mind za watu?
I wish mods wasiruhusu thread za namna hii
hebu pata picha mtu kasoma heading halafu salio likakata kabla ya kusoma habari yenyewe! si unataka aka-preach nini mtaani?
please be matured