Anayeifahamu kozi ya health systems management

Anayeifahamu kozi ya health systems management

Eni Joe

New Member
Joined
Jul 27, 2019
Posts
1
Reaction score
0
Wakuu habari zenu... msaada wa kimaelezo tafadhali kwa anayeifahamu kozi ya health systems management inayotolewa na Mzumbe University
 
Write your reply...programme nzuri ni marketable ila hesabu zipo
maketabo vp fafanua maana miaka ya nyuma 2012 kurudi nyuma walikuwa wakichukuliwa direct mahospitalini baada ya hapo imekuwa ya kuomba kama nyingine huku nafasi zake zikiwa chache na nadra kutoka.

fafanua u maketabo wake
 
Back
Top Bottom