Anayeifahamu hii namba anijuze tafadhali

Anayeifahamu hii namba anijuze tafadhali

Iyo namba ilinipigia siku moja wakanambia wamepata namba yangu Facebook kwamba wako Japan wanauza na magari wamefungua tawi Tanzania mambo mengi walinipigia kama Mara kumi nilianzaga naogopa kupokea ila ikabidi nipokee ndo nkakutana kingereza cha kichina
Matapeli hao....wapotezee
 
Hata mm niliwakaushia walinambia wanauza magari bei nafuu sana kuanzia $2000 unaripa kwanza nusu shipping ni bure apo ndo nilishtuka
Kwani we uliwaambia unahitaji gari?achana nao wasije kukuliza bure mijitu isiyo penda kutokwa na jasho
 
Nyingine hii hapa chini, Mwenye namba hii amenipigia jana,nilipojaribu kumtafuta mwenyewe mara zote naambiwa simu inatumika. +255222134941
 
Back
Top Bottom