Nichek kwa namba hiyoo
Laki moja kwa mwezi!
unaposema ya kushare unamaanisha nini ???Ipo maeneo ya mpakani karibu na callabash, ni office ya kushare!
du, no privacyNamaanisha ofisi mbili kwa sehemu moja, jamaa ni ofisi yake, so kwa sababu ni kubwa ameongeza fanicher kwa atakaehitaji office wawe wote humo!
Daah babu ulikuwa unataka kupiga kazi ndefu nini? Hapakufai hapo colleague atasoma michongo yote..du, no privacy