Anayehitaji mimba

Hahah ulivyotaja hiyo habari ya Jaque ndio kama umenifungua macho...
Kumbe ndiyo technique wadada wa mujini wanafanya eenh...halafu nikamsoma na lara 1 hapo juu...lol

Volunteers wengi mno wala hatuhitaji donors! Mie mwenyewe namsubiria klyn vimapacha vyake vikue nikambake mengi. Nataka urithi mlamua.
 
Last edited by a moderator:
Siku hizi hata sperm donor tunachangua kwa kuangalia akili. Are you intelligent? Mambo ya kuzaa mtoto unasukuma kwenda shule hadi unakufa kihoro hatutaki.

Teh teh teh....vijana wa kileo wanafikiria kwa karibu sana. Ukimsogelea atataka umlipe ingawa kuna uwezekano mbegu anayotoa itazaa mchicha pori
 
Hehehe. Chezeiya mjini wewe.
Yaani wanaume wa bongo walivyo waroho ukimtega mara moja tu unajikwalia mimba manake kwa kuloweka mmeshindikana. Hata tukitaka mtoto na kakone mbona yutapata tu?
Hahah ulivyotaja hiyo habari ya Jaque ndio kama umenifungua macho...
Kumbe ndiyo technique wadada wa mujini wanafanya eenh...halafu nikamsoma na lara 1 hapo juu...lol
 
Last edited by a moderator:
Umeona eeh. Wakati kuna proved potential fathers! Na inakuwa bahati mbaya unatoa tangazo na machozi na kamasi za mwaka mzima! Make him feel guilty and he pays all the bills teh. So evil me on a sunday as beautiful as this!
Teh teh teh....vijana wa kileo wanafikiria kwa karibu sana. Ukimsogelea atataka umlipe ingawa kuna uwezekano mbegu anayotoa itazaa mchicha pori
 
Nawakaribisha kina dada wote wanaotaka mtoto ili walee peke yao kama upo tayari ni email allankisojoko@gmail.com

Kichwa umeandika mimba lakini ndani umeandika mtoto. Unataka uwape wenzako watoto ili walee wenyewe je we una wangapi unao walea?
Kama una wengi si uwapeleke kituo cha kulelea watoto.
 
Umeona eeh. Wakati kuna proved potential fathers! Na inakuwa bahati mbaya unatoa tangazo na machozi na kamasi za mwaka mzima! Make him feel guilty and he pays all the bills teh. So evil me on a sunday as beautiful as this!

Haaaahaaaa.....I wish I could and indeed this sunday is beautiful. For some of us, the thinking we have about what men should be doing is being considered at least, as of old fashioned boys. Lakini I know I handle well my affairs...siwezi kuanzisha project ya kuwa mariyooo...
 


duh! wanawake mna mambo.......... kumbe ndiyo maana wengine tuna ...................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…