BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 6,182
- 11,783
Mwezi wa 8 naenda Burundi,atakayehitaji decorder tunauza 150,000 pamoja na package ya mwezi mzima.Dish na kitovu havihusiki.Namaanisha deki na remote pamoja na waya wa kuunganisha.
Mhitaji awe kanda Kaskazini,namaanisha Moshi,Arusha na Manyara.
Karibuni sana.Malipo ni unapopokea mzigo wako.
Mhitaji awe kanda Kaskazini,namaanisha Moshi,Arusha na Manyara.
Karibuni sana.Malipo ni unapopokea mzigo wako.