Anayehitaji Computer Software aina yoyote tuwasiliane!

Uliposema 'zote' ulimaanisha nini!?

zote by category na sio zoote zilizopo dunia hii. maana mtu akisema ana software zoote zilizopo ulimwenguni ni mwongo. ila category-wise kv. engineering, GIS, Architecture, Accountant, nk inawezekana! dio maana ni vema mtu akasema anahitaji software ya kufanyia kazi ipi.
 
Aise mi ninazo software yeyote unayotaka na hakuna longolongo. Yeyote mwenye hitaji aniambie nilikuwa sijuwi kama kuna wengi hivi wenye hii shida. Okay leteni request zenu.
 
Nataka niwe naweza kucheza games za PS2, PS3, n.k kwenye Computer, fanya makalatee basi!!
 
Sawa, kuna configurations na installation zinatakiwa zifanyike ili pc yako ipate uwezo huo, kwahiyo ni lazima nikutembelee ulipo. Mimi nipo dar, wewe upo wapi?.

Cha msingi wafundishe watu jinsi gani ya kutafuta na kudownload hizo Applications, bila kulipia, either thru torrents au server za bure Kama 4shared.com etc, but unaposema una apps zote, natia Shaka Kama utaweza kuwapatia, coz there are millions of computer Apps, Na urahisi kwa mtumiaji unatofautiana kutoka kwenye application moja to nyingine
 
Mkuu, Angalia jina la jukwaa. Hapa tunafanyaga tu biashara kama anataka kufundishwa anajuwa kwa kwenda na siyo kila software utapata bure kama unavyodhani.

Cha msingi wafundishe watu jinsi gani ya kutafuta na kudownload hizo Applications, bila kulipia, either thru torrents au server za bure Kama 4shared.com etc, but unaposema una apps zote, natia Shaka Kama utaweza kuwapatia, coz there are millions of computer Apps, Na urahisi kwa mtumiaji unatofautiana kutoka kwenye application moja to nyingine
 
Sawa, kuna configurations na installation zinatakiwa zifanyike ili pc yako ipate uwezo huo, kwahiyo ni lazima nikutembelee ulipo. Mimi nipo dar, wewe upo wapi?.
Nipo Dar pia, unapatikana wapi nkuletee!?
 
Cha msingi wafundishe watu jinsi gani ya kutafuta na kudownload hizo Applications, bila kulipia, either thru torrents au server za bure Kama 4shared.com etc, but unaposema una apps zote, natia Shaka Kama utaweza kuwapatia, coz there are millions of computer Apps, Na urahisi kwa mtumiaji unatofautiana kutoka kwenye application moja to nyingine
Una akili sana mpwa
 
sina hiyo mtu wangu

Kumbe wewe una software gani sasa mtu wangu? Mimi nafikiri unge edit heading ya topic yako, halafu orodhesha zile ulizo nazo, ili wadau wasipate usumbufu wa kuuliza uliza bila mafanikio, unless unatafuta cheap popularity hapa!
 
popularity kwani mimi nimekuwa Nape au Mwigulu? i'm not a politician at all. o/s ninazo wins XP, Vista Ultimate, Red Hat Linux (and Red Hat Linux learning cds), Solaris, na Wins 2003 server. professional software zipo nyingi. kuna za GIS, Civil Engineering, Multimedia, Architecture, Remote Sensing, Database (Oracle), Video editing like AVID Media composer, AutoCAD products, Mechanical Engineering, Ms SQL server, 3Ds Max, Maya, Ms Office 2003 and 2007, Visual Basic 6.0, Turbo C, C++ Compiler, French language learning cd (Rosseta Stone), TEKLAS X Steel, TEKLA Structures, Tally, Quick Books Premier, ENCARTA, Sound Forge, ETABS, nk.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom