Can I interest you na bidhaa kutoka dlight?Naomba kwa yeyote aliyetumia vifa vya Sundar kama Solar panel,betri za solar,tv za solar, anifahamishe ubora wake .Nina mpango wa kununua vifaa vya solar kwa matumizi ya nyumba yangu kijijini ambako umeme wa tanesco haujafika,kwani naona vifaa vya Sundar vimesambaa kila mahali .
Naattach huu mkataba wa mauziano ili upate picha ya jinsi malipo yanavyokua.Naomba kwa yeyote aliyetumia vifa vya Sundar kama Solar panel,betri za solar,tv za solar, anifahamishe ubora wake .Nina mpango wa kununua vifaa vya solar kwa matumizi ya nyumba yangu kijijini ambako umeme wa tanesco haujafika,kwani naona vifaa vya Sundar vimesambaa kila mahali .
Naomba kwa yeyote aliyetumia vifa vya Sundar kama Solar panel,betri za solar,tv za solar, anifahamishe ubora wake .Nina mpango wa kununua vifaa vya solar kwa matumizi ya nyumba yangu kijijini ambako umeme wa tanesco haujafika,kwani naona vifaa vya Sundar vimesambaa kila mahali .
Hao Zola na mobisol wanabidhaa ghali lakini sijui kama wanauza rejareja nadhani wanakufungia mfumo wao na unalipa kwa mwezi,mimi ningependelea kampuni zinazouza bidhaa iliyo bora na nafuu.Can I interest you na bidhaa kutoka Zola kwa kushirikiana na Solar sister?
Kwa ulivyotaja kuhusu TV nafikiri itakufaa package ya dlight X2000.
Katika package hii utapata TV, redio ndogo, tochi ndogo yenye uwezo wa kumulika umbali wa viwanja vitano vya mpira, utapata taa za muundo wa bulb nne, utapata na taa moja ya muundo wa tube light.
Taa hazivunjiki.
Unaweza kukadiria mwanga unaoutaka.
Unapata na warranty kwa hii bidhaa utakayonunua.
Unapata panel na contorl box ya kuwasha na kuzima mtambo mzima.
Taa zake zina waya ambao una sehemu za kuweza kuunga taa zingine. Namaanisha kwamba, taa itatakiwa kuchomekwa kwenye control box, lakini ikatokea unataka kuongeza taa badala ya kuchomeka kwenye control box unaweza kuchomeka katika sehemu maalumu ya taa nyingine.
Isipokua hii taa uliyochomeka katika taa nyingine itakua controlled na hii taa kuu ambayo imechomekwa kwenye control box.
Sijajua eneo ulilopo ila kama utakua eneo zuri unaweza kulipia kidogo kidogo.
Ni zipi bora zinazopatikana onlineMkuu Sundar ni hovyo kabisa watu wanaipendelea sababu ya bei kuwa chini kama ubora wake ulivyo chini
Solar nzuri ni za makampuni kama Zola, Mobisol, Mpowa nk
Tatizo lao ni MAJAMBAZI....... yaani wanabei kubwa ya wizi wizi mtupu
Naona watu siku hizi wanaagiza hizi solar nzuri tu online
Thamani ya pesa yako unaiona.Hao Zola na mobisol wanabidhaa ghali lakini sijui kama wanauza rejareja nadhani wanakufungia mfumo wao na unalipa kwa mwezi,mimi ningependelea kampuni zinazouza bidhaa iliyo bora na nafuu.
Tsh ngapi huu mtambo mzima ama kama unalipia kidogo kidogo ni bei gani kwa siku/mweziCan I interest you na bidhaa kutoka Zola kwa kushirikiana na Solar sister?
Kwa ulivyotaja kuhusu TV nafikiri itakufaa package ya dlight X2000.
Katika package hii utapata TV, redio ndogo, tochi ndogo yenye uwezo wa kumulika umbali wa viwanja vitano vya mpira, utapata taa za muundo wa bulb nne, utapata na taa moja ya muundo wa tube light.
Taa hazivunjiki.
Unaweza kukadiria mwanga unaoutaka.
Unapata na warranty kwa hii bidhaa utakayonunua.
Unapata panel na contorl box ya kuwasha na kuzima mtambo mzima.
Taa zake zina waya ambao una sehemu za kuweza kuunga taa zingine. Namaanisha kwamba, taa itatakiwa kuchomekwa kwenye control box, lakini ikatokea unataka kuongeza taa badala ya kuchomeka kwenye control box unaweza kuchomeka katika sehemu maalumu ya taa nyingine.
Isipokua hii taa uliyochomeka katika taa nyingine itakua controlled na hii taa kuu ambayo imechomekwa kwenye control box.
Sijajua eneo ulilopo ila kama utakua eneo zuri unaweza kulipia kidogo kidogo.
Kuna mkataba nimeutuma unaonyesha malipo yanavyokua.Tsh ngapi huu mtambo mzima ama kama unalipia kidogo kidogo ni bei gani kwa siku/mwezi
Mkuu unalipa 1800 kwa siku ambayo utailipa kwa siku 500 ulitamani iamount kwenye sh ngapi?Mkuu Sundar ni hovyo kabisa watu wanaipendelea sababu ya bei kuwa chini kama ubora wake ulivyo chini
Solar nzuri ni za makampuni kama Zola, Mobisol, Mpowa nk
Tatizo lao ni MAJAMBAZI....... yaani wanabei kubwa ya wizi wizi mtupu
Naona watu siku hizi wanaagiza hizi solar nzuri tu online
Maelezo mengi lakini umeshindwa kutaja bei.Can I interest you na bidhaa kutoka dlight?
Kwa ulivyotaja kuhusu TV nafikiri itakufaa package ya dlight X2000.
Katika package hii utapata TV, redio ndogo, tochi ndogo yenye uwezo wa kumulika umbali wa viwanja vitano vya mpira, utapata taa za muundo wa bulb nne, utapata na taa moja ya muundo wa tube light.
Taa hazivunjiki.
Unaweza kukadiria mwanga unaoutaka.
Unapata na warranty kwa hii bidhaa utakayonunua.
Unapata panel na contorl box ya kuwasha na kuzima mtambo mzima.
Taa zake zina waya ambao una sehemu za kuweza kuunga taa zingine. Namaanisha kwamba, taa itatakiwa kuchomekwa kwenye control box, lakini ikatokea unataka kuongeza taa badala ya kuchomeka kwenye control box unaweza kuchomeka katika sehemu maalumu ya taa nyingine.
Isipokua hii taa uliyochomeka katika taa nyingine itakua controlled na hii taa kuu ambayo imechomekwa kwenye control box.
Sijajua eneo ulilopo ila kama utakua eneo zuri unaweza kulipia kidogo kidogo.
Nia yangu ni kutumia kwa TV je umetumia kwa TV au taa tu.Mimi nimefunga Sundar mwaka wa tatu haijasumbua kitu chochote na kuna taa zinawaka masaa 24 .
Natumia tv hata pasi ya kunyoosha nguo.Nia yangu ni kutumia kwa TV je umetumia kwa TV au taa tu.
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app