Tatemahunda
JF-Expert Member
- Sep 14, 2013
- 232
- 92
Salam wakuu
Mimi ni kijana Wa kitanzania na ni mfanyakazi katika wizara fulani hapa nchini, nataka nichukue mkopo benki mana kuna biashara nataka nianzishe. Tatizo Lipo kwenye salary slip mana tangu June hadi Leo hazijaja na biashara yenyewe ni marketable Kwa November na December. Sasa sijui nifanyeje ili kufanikisha ndani ya Oktoba
Natanguliza heshima kwenu