Bombo kuna vyuo viwili chuo cha kwanza kinaitwa tanga school of nursing ambacho ndani yake kinatoa kozi ya uuguzi,community health,na pia kuna enviroment science tawi la muhimbili na chuo cha pili ni AMO assistant medical officer hiki kinatoa diploma na pia kuna dentalHuenda hata jina nimekosea (japo sina uhakika).
Naomba kujulishwa ni kozi gani za afya wanatoa kwa ngazi ya diploma.
Nataka nisome Clinical Medicine.
Na kama itawezekana naomba nijulishwe vyuo vyengine vya serikali vinavyotoa kozi za afya ngazi ya diploma, katika mkoa wa Tanga hususani Clinical medicine.
Bila kusahau ada zake. Naomba msaada huo tafadhali, nina shida!
Bombo kuna vyuo viwili chuo cha kwanza kinaitwa tanga school of nursing ambacho ndani yake kinatoa kozi ya uuguzi,community health,na pia kuna enviroment science tawi la muhimbili na chuo cha pili ni AMO assistant medical officer hiki kinatoa diploma na pia kuna dental
Yaani unavyoomba mawasiliano na vitu unavyoviongea unafikiri unachaguliwa direct na chuo kumbe lazima uapply NACTE na mchujo ufanyike ipasavyo ndo unachaguliwa.
Sasa ww inaonekana hata NacTe huwajui kabsa kwa sababu maswali unayouliza yote yapo kwenye website ya NacTe
Yaani unavyoomba mawasiliano na vitu unavyoviongea unafikiri unachaguliwa direct na chuo kumbe lazima uapply NACTE na mchujo ufanyike ipasavyo ndo unachaguliwa.
Sasa ww inaonekana hata NacTe huwajui kabsa kwa sababu maswali unayouliza yote yapo kwenye website ya NacTe
Only nursingAnaefahamu chuo cha Ndanda. Naomba kufahishwa kozi gani kina toa..? kwa ngazi ya diploma..!
Clinical medicine bombo hakuna, kwa kuongezea kuna Eckernforde nao wanatoa Clinical medicineBombo kuna vyuo viwili chuo cha kwanza kinaitwa tanga school of nursing ambacho ndani yake kinatoa kozi ya uuguzi,community health,na pia kuna enviroment science tawi la muhimbili na chuo cha pili ni AMO assistant medical officer hiki kinatoa diploma na pia kuna dental
Hapo Bombo kuna Diploma ya Clinical Medicine ila kwa wale wenye Certificate ya Clinical Medicine tayari yaani In-Service na inatolewa kwa njia ya masafa au Distance Learning wanakuja chuoni kufanya tu mitihani.Asante ndugu, na vipi kuhusu ada yake, au mawasiliano ya Chuo hiki kinachotoa diploma ya Clinical medicine?
Na je kuna chuo chengine cha serikali kinachotoa diploma ya C.O au Laboratory technician, katika wilaya ya Tanga, yani Tanga mjini?