G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,766
- 36,626
Jana nilipata matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar ambao kimsingi CCM walijipikia na kujipakulia kisha wakala na kupongezana, uchaguzi huo eti CCM imejinyakulia majimbo yote ya uwakilishi Pemba na Unguja! Pia ikajinyakulia kata zote (wadi ) Pemba na Unguja! Kimsingi CCM ikashinda urais, uwakilishi na udiwani kwa asilimia 100 Zanzibar yote! Mbaya zaidi kuna muwakilishi wa CCM huko Pemba eti kashinda kwa kura 90. Huu ni uhuni!
CCM wanajidanganya sana na wanaota ndoto za mchana kweupeee!
Kuanzia leo Zanzibar inaweza kuingia katika historia za Tunisia, Misri, Syria na mataifa mengine! Shein atakuwa muhalifu wa kwanza wa kivita kutoka Tanzania kuitwa th Hague! Hilo liko wazi na halina hata chembe ya ubishi!
Yote kwa yote muda utasema kila kitu!