Anayedaiwa kuwa malaika aanguka nchini Uingereza

Anayedaiwa kuwa malaika aanguka nchini Uingereza

mtanganyika wa kweli

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2015
Posts
2,420
Reaction score
1,724
Anayedaiwa kuwa malaika aanguka nchini Uingereza na mamia ya watu yafurika kwenda kumtazama na huku akihifadhiwa kwenye zooo na kuwa kivutio cha utalii kwa watu!

Maswali:

1. Nani kathibisha kuwa huyo ni malaika?

2. Kwanini hajaanguka malaika mweusi.

3. Tokea kuumbwa kwa dunia hii haijapata kutokea malaika kuanguka, je huyu ni malaika wa aina gani?

4. Hizo nguo ameshonewa duniani au mbinguni?

5. Huyu malaika ni mwanaume au mwanamke?

6. Je huyo malaika mpaka sasa amekufa, amezinzia au amezimia mbona hanyanyuki?

7. Akitaka kuondoka itakuwaje huku akiwa amefungiwa?

Naomba akinyanyuka athibitishe kuwa yeye ni malaika aliyedrop from heaven!
 

Attachments

  • 1437934217495.jpg
    1437934217495.jpg
    80.1 KB · Views: 3,785
Watu wa mahabara ao sema hamtoweza kujua kwa hiyo tech ni nyeti na inafanyika ktk hali ya unyeti zaidi hivyo kwa uku kwetu ni kama mazingaombwe hivi maana ukiambiwa kuna watu wanapandikizwa vitu kwa ajili ya majaribio ktk mahabara hutoweza amini. Kuna watu wanatamani kuwa kama popo au ndege wa kawaida uku cc tunaona kwenye movie tu na kudhani hivyo vitu havifanyiki kumbe wenzetu uko wanafanya mengine ya kutisha zaidi uyaonayo kwenye cinema
 
HUYO ni mchawi, katunguliwa na wachawi wenzie, akiamka atasema yote
 
kwa hiyo wazungu wanataka kusema wamemteka malaika baada ya kuanguka......duuuh hatari
 
Hahaaaaaaa huyu malaika amegombana na mung..? Siku zinavyokwenda nikimtaza mwanadamu jinsi alivyo hasa kichwa chake napata mashaka humo ndani amebeba nn...watu wamekua weupe sana vichwani sijyi kuna shida gani
 
Hii kitu sio kweli hata kidogo
Hakuna habari hii BBC wala CNN
Sijui kwanini kuna ulimbukeni wa kushabikia vitu bila kufuatilia
 
anayedaiwa kuwa malaika aanguka nchin uingereza na mamia ya watu yafurika kwenda kumtazama na huku akihifadhiwa km kwny zooo na kuwa kivutio cha utalii kwa watu!

qns!

1.nan kathibisha kuwa huyo ni malaika
2.kwann hajaanguka malaika mweuc??
3.tokea kuumbwa kw dunia hii haijapat kutokea malaika kuanguka,je huyu ni malaika wa aina gan???
4.hiz nguo ameshonewa dunian o mbinguni???
5.huy malaika ni mwanaume o ke???
6.je huy malaika mpk nw amekufa,amezincia o amezimia mbona hanyanyuki???
7.akitaka kuondoka itakuwaje huku akiwa amefungiwa


naomba akinyanyuka athibitishe kuwa yey ni malaika aliyedrop from heaven!

bora huyo ni malaika mkuu. hapo kenya juz Kati kulikuwa na Mungu japo nae alishakufa
 
malaika wa kuzimu labda
malaika kazeeka khaaaa utadhani kuku kishingo na vipapatio! wazungu wehu sana
 
kufuru nyingine hizi ...! ipo siku tutasikia wajinga wakisema Mungu kaanguka...!!! art work ya ki.$#□@# kweli *****...
 
Kweli hii kali WA kwetu wakidondoka wachawi ulaya malaika duuu! Kumbe binti ndembo akienda huko atapata malaika wengi. ( kumbe wao wakikamata mchawi wanamwita malaika? )
 
eti art
wao washamuona huyo malaika au wanacheza na mungu tu, malaika awe hvyo majangaa wakajifunze ubunifu upya
 
Back
Top Bottom