Anaweza kusoma nursing au arisiti? Msaada tafadhali

ezraplatform

Senior Member
Dec 19, 2016
109
51
Nitangulize salamu kwa wakuu wote wa jukwaa hili la elimu,

Bila kupoteza muda nilikuwa naomba msaada wa mawazo juu ya hili

Kuna dogo mmoja amemaliza kidato cha nne mwaka Jana ila matokeo yake yalikuwa mabaya na anataka kurisiti mitihani, anataka akafanye course ya nursing ila kwa masomo yenye interest yalikuwa hivi;
Mathematics F
Biology D
Chemistry D
Physics F
Je Kwa kozi za nursing anaweza kwenda na kama ni apana ule utaratibu wa kurisiti bado Upo na garama zake zikoje? Na anaweza kurisiti masoma anayotaka tuu au lazima arudie masomo yote?,

Niwashukuru wote watakao changia mada hii
 
Kurisiti inahitaji utayari wa Kichwa chake ndipo atafanya vyema asikurupushw3.Km atasoma kwa malengo na utambuz atafanikiwa bila shaka.Nursing anaweza pata nenda kajaribu chuo husika.Risiting cost awe na karibia 87,500/90000 kwa ajili ya kulipitia mtihani wa Taifa.
 
Sawa asante mkuu
 
Hakuna kozi yoyote ya afya kwa ngazi ya cheti na kuendelea anayoweza kusoma
 
Back
Top Bottom