nitamfugaje wakati mwana anajulikana msumbufu
mi hata kumchinja kuku namwonea huruma sebuse huyo mwenye uso kama wanguUtamfanya kitoweo basi lol...
mi hata kumchinja kuku namwonea huruma sebuse huyo mwenye uso kama wangu
hebu mwangalie hatujafanana domo?Haahaaaaaha umenichekesha wewe....huyo ndio ana uso kama wako?
hebu mwangalie hatujafanana domo?
sisi mapacha
hii kwetu ku-Congo inaitwa makaku, nyama yake inakolea mu shingo ni tamu muno.Utamfanya kitoweo basi lol...
kushinda kitu cha moto?hii kwetu ku-Congo inaitwa makaku, nyama yake inakolea mu shingo ni tamu muno.