Hapana hapanaUkwaju! Labda sijaeleza vizuri au haujanielewa
Mmh.. mi nimeshamwambia sitaacha kumpenda . Nadhan uwo ndo ukweli wake tu
hakuna kitu inaumiza kama Baba Mzazi kukuta unakunjwa vichochoroni aisee, ni aibu kubwa sana, hawezi kujisamehe hiyo makitu mpaka rip yakeKutokujisamehe wewe mwenyewe ina madhara makubwa kuliko hata kutokumsamehe mtu mwingine. Mtafutie wanasaikolojia watamsaidia sana. Ila kwa wakati huu hata wewe mwenyewe uwe unaongea naye kidogo kidogo. Binadamu hakuna aliye mkamilifu, wote tunakosea . Na ndio maana Mungu Aliweka kitu " msamaha"
Hutakiwi kuishi kwa majuto juu ya chochote ulichokifanya before. Ajisamehe na Mungu amekwisha msamehe. Duuuh inatia huruma sana. Ila all in all mambo yake aliyofanya kipindi kile asiyaruhusu kumuharibia current life yake. She needs to be free over her past life
Najua ni ngumu sana kwa fedheha aliyoipata but akipata watu sahihi wa kumuongoza, naamini ataweza kujisamehe tu taratibu. Anahitaji kujisamehe kama ambavyo anasamehe wengine wanaomkosea, bila kujali alikosea nini na mbele ya nani. It shall be well with herhakuna kitu inaumiza kama Baba Mzazi kukuta unakunjwa vichochoroni aisee, ni aibu kubwa sana, hawezi kujisamehe hiyo makitu mpaka rip yake
Habari wanajamvi?
Mimi nna mwenzi wangu ambaye tumepanga kutambulishana kwa wazazi mwishoni mwa mwaka huu. Huyu binti ambaye natarajia awe mke wangu tulijuana zaidi ya miaka 6 ivi ila si kama wapenzi. Tatizo linalomsumbua ambalo nimeona niombe ushaur wenu ili nimsaidie ni kwamba alipokuwa anasoma sekondari aliwahi kukamatwa akifanya mapenzi, alifukuzwa shule na baadae wazazi waliamua kumuamisha mkoa akaendelea na kumaliza elimu yake. Sikuwahi kuijua story hii mpaka tulipokuwa wapenzi ndo aliniadithia. Amekuwa akirudia mara kwa mara kuniambia tukio lile la aibu uwa linamuumiza sana sasa hata anaogopa kuwaambia wazaz wake kuwa ana mtu anayetaka kumtambulisha ili baadae niwe mumewe. Mimi na yeye tunaishi mikoa tofauti kwani yupo arusha nami nipo dar, pia sijawahi kufanya nae mapenzi. Mnishauri wana Jf jinsi ya kumsaidia huyu binti kwani nampenda. Nahitaji awe huru
Mmh.. mi nimeshamwambia sitaacha kumpenda . Nadhan uwo ndo ukweli wake tu
haya counselling officer, itabidi nikutafute nahitaji ushauri kiuno kinaniuma sananajua ni ngumu sana kwa fedheha aliyoipata but akipata watu sahihi wa kumuongoza, naamini ataweza kujisamehe tu taratibu. Anahitaji kujisamehe kama ambavyo anasamehe wengine wanaomkosea, bila kujali alikosea nini na mbele ya nani. It shall be well with her
Hahaha hapo nenda tu hospitalihaya counselling officer, itabidi nikutafute nahitaji ushauri kiuno kinaniuma sana
utakuwa hujanitendea haki kabisaHahaha hapo nenda tu hospitali
Habari wanajamvi?
Mimi nna mwenzi wangu ambaye tumepanga kutambulishana kwa wazazi mwishoni mwa mwaka huu. Huyu binti ambaye natarajia awe mke wangu tulijuana zaidi ya miaka 6 ivi ila si kama wapenzi.
Tatizo linalomsumbua ambalo nimeona niombe ushaur wenu ili nimsaidie ni kwamba alipokuwa anasoma Sekondari aliwahi kukamatwa akifanya mapenzi, alifukuzwa shule na baadae wazazi waliamua kumuamisha Mkoa akaendelea na kumaliza elimu yake.
Sikuwahi kuijua story hii mpaka tulipokuwa wapenzi ndo aliniadithia. Amekuwa akirudia mara kwa mara kuniambia tukio lile la aibu uwa linamuumiza sana sasa hata anaogopa kuwaambia wazaz wake kuwa ana mtu anayetaka kumtambulisha ili baadae niwe mumewe.
Mimi na yeye tunaishi mikoa tofauti kwani yupo Arusha nami nipo Dar, pia sijawahi kufanya nae mapenzi. Mnishauri wana Jf jinsi ya kumsaidia huyu binti kwani nampenda.
Nahitaji awe huru