CHAMVIGA
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 7,687
- 2,240
Kijana mmoja aliyeonja kabla hazijaiva anauliza amuoe nani katika ya hawa wapenzi(wachumba) watatu.
Yeye anawapenda sana wote ila
Mmoja kimwili ni mkubwa sana kuliko yeye ila kiumri ni mdogo. Anapotembea nae anaonekana mdogo hivyo anachekwa na marafiki zake. Pia tabia ya binti inaweza kutoendana na mama yake mzazi kwahiyo anadhani kutakuwa na kutokuelewa na mamaye.
Wapili anatamaa sana, akimuona mwanaume mwingine mwenye pesa na akitongozwa yeye anakubali tu. Huyu ameshawi kutembea na rafiki yake wa karibu na hata hivyo alivyomaliza haja yake akamuacha.
Watatu nae keshafanya ngono na kaka yake wa damu wakati yeye alipokuwa ameondoka nyumbani.
Wewe unamshauri amuoe yupi kati ya hawa watatu na yeye hataki kwingine.