Anauliza: Kati ya hawa amuoe yupi?

Anauliza: Kati ya hawa amuoe yupi?

hivii, kwa hiyo wanaume kumbe mnakuwaga na machaguo meengi ambao unakua unawadate at the same time ndy ujue yupi mke?

duh... :A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:
 
Hapa aje himidin. Himidin kuja baba kijana kavurugwa
 
Ndio tabu ya ku date na watu wengi maana unashindwa kuchagua na kumbuka hao wawili walobaki umewapotezea muda wao.
Mi sina cha kumshauri coz ndio fungu alilochagua.
 
Hapa kunamuoaji kweli? Yani kabisa hicho ndo kinamfanya aje kuomba ushauri?

Okey ngoja nimshauri:

Kati hao watatu amuoe ambaye hawaziishi bila yeye, namaanisha yani ambaye anamwona kwake ndo mwazo na mwisho, kwa sababu sitaki kuamini kwa anawapenda wote sawa, ni kweli anawapenda but yupi anampenda zaidi.

Akiona kati yao wote hakuna atafute mwingine tofauti na hao.

Na pia awe mwanaume mwenye kujiamini aache kukuzuzuliwa na maneno ya watu.

Ni hayo tuuuu
weka picha zao tukusaidie kumchagulia,

asante kwa kuni PM picha zao, naomba ruksa niziwakilishe hapa. download.jpg
 
Ana resources gani kumiliki wanawake watatu? Au anataka aishie kupanga kule Tandale maisha yake yote?
 
Back
Top Bottom