Anatarajia ndoa, ila mimi siitaji japo nampenda.. Nimchomolee vipi?

Wadau nina msichana nampenda sana na yeye ananipenda zaidi.

Ishu ni kwamba mapenzi yamekolea kiasi kwamba yamevuka matarajio yangu, mimi nilikuwa namchukulia kama msichana wa kula nae maisha tu huku tunakuwa.

Ila mwenzangu amekolea sana sana kiasi ameshanitambulisha kwa kila mtu wake wa karibu mpaka mama yake. Ameweka picha yangu kwenye kila account yake fb na insta ata Watsapp ameniweka dp.

Sasa wadau nachoomba mnishauri ni jinsi ya kuondoa hii hali kwake bila kuachana, nataka asiwe na mategemeo ya ndoa maana kwa marafiki zake na ndugu zake ni mchumba tayari japo sijawai mtamkia ilo.

Nimwambie nini bila kumkwaza na kuachana aelewe kwamba mupenzi yetu ni ya kupita tu.

Sababu kubwa ya kumuondoa kwenye future yangu ni tabia naona hatuendani mimi nimekuwa mtu wa kumvumilia kila siku, nahisi sababu ya malezi na mazingira ya makuzi hivyo naamuaga nimuelewe tu .

Kingine yeye akumaliza ata form four mimi nna elimu ya chuo hivyo tunakua na gap fulani kwenye maamuzi maongezi ata priorities za kimaisha.

Kuna kipindi nataka kumwacha ila namuonea huruma sababu alivyo kolea, na nikiendelea nae anazidi kudata na anategemea ndoa ndio inanukia.

Nishaurini nimweleshe vipi bila kugombana ata tukigombana tusiwe maadui tuwe marafiki wa kawaida , maana sitaki aondoke kwenye maisha yangu japo siitaji kumuoa.

Mwambie husimamishi
 
Muache dada wa watu, unamzibia riziki za watu wenye nia nae ya dhati
 
Ipo siku utatafta hilo penzi na hautalipata I tell u.,
Pata wa chuo mwenzio utakuja kusimulia
 
Mkuu hayo maneno endelea kumdanganya yeye lakini sio sisi.

Wadau nina msichana nampenda sana na yeye ananipenda zaidi.

Ishu ni kwamba mapenzi yamekolea kiasi kwamba yamevuka matarajio yangu, mimi nilikuwa namchukulia kama msichana wa kula nae maisha tu huku tunakuwa.

Ila mwenzangu amekolea sana sana kiasi ameshanitambulisha kwa kila mtu wake wa karibu mpaka mama yake. Ameweka picha yangu kwenye kila account yake fb na insta ata Watsapp ameniweka dp.

Sasa wadau nachoomba mnishauri ni jinsi ya kuondoa hii hali kwake bila kuachana, nataka asiwe na mategemeo ya ndoa maana kwa marafiki zake na ndugu zake ni mchumba tayari japo sijawai mtamkia ilo.

Nimwambie nini bila kumkwaza na kuachana aelewe kwamba mupenzi yetu ni ya kupita tu.

Sababu kubwa ya kumuondoa kwenye future yangu ni tabia naona hatuendani mimi nimekuwa mtu wa kumvumilia kila siku, nahisi sababu ya malezi na mazingira ya makuzi hivyo naamuaga nimuelewe tu .

Kingine yeye akumaliza ata form four mimi nna elimu ya chuo hivyo tunakua na gap fulani kwenye maamuzi maongezi ata priorities za kimaisha.

Kuna kipindi nataka kumwacha ila namuonea huruma sababu alivyo kolea, na nikiendelea nae anazidi kudata na anategemea ndoa ndio inanukia.

Nishaurini nimweleshe vipi bila kugombana ata tukigombana tusiwe maadui tuwe marafiki wa kawaida , maana sitaki aondoke kwenye maisha yangu japo siitaji kumuoa.
 
Mfanyie visa anza taratibu akipiga hupokei akituma SMS hujibu akija kwako unamwambia natoka akikuuliza bado unanipenda mwambie Ndio kila akikuuliza in short anza kumkwepa but usisubutu kumwambia sikupendi but uwe unamwambia nimebanwa na kazi mwisho wa siku anajiongeza anakuacha mwenyewe
 
Wadau nina msichana nampenda sana na yeye ananipenda zaidi.

Ishu ni kwamba mapenzi yamekolea kiasi kwamba yamevuka matarajio yangu, mimi nilikuwa namchukulia kama msichana wa kula nae maisha tu huku tunakuwa.

Ila mwenzangu amekolea sana sana kiasi ameshanitambulisha kwa kila mtu wake wa karibu mpaka mama yake. Ameweka picha yangu kwenye kila account yake fb na insta ata Watsapp ameniweka dp.

Sasa wadau nachoomba mnishauri ni jinsi ya kuondoa hii hali kwake bila kuachana, nataka asiwe na mategemeo ya ndoa maana kwa marafiki zake na ndugu zake ni mchumba tayari japo sijawai mtamkia ilo.

Nimwambie nini bila kumkwaza na kuachana aelewe kwamba mupenzi yetu ni ya kupita tu.

Sababu kubwa ya kumuondoa kwenye future yangu ni tabia naona hatuendani mimi nimekuwa mtu wa kumvumilia kila siku, nahisi sababu ya malezi na mazingira ya makuzi hivyo naamuaga nimuelewe tu .

Kingine yeye akumaliza ata form four mimi nna elimu ya chuo hivyo tunakua na gap fulani kwenye maamuzi maongezi ata priorities za kimaisha.

Kuna kipindi nataka kumwacha ila namuonea huruma sababu alivyo kolea, na nikiendelea nae anazidi kudata na anategemea ndoa ndio inanukia.

Nishaurini nimweleshe vipi bila kugombana ata tukigombana tusiwe maadui tuwe marafiki wa kawaida , maana sitaki aondoke kwenye maisha yangu japo siitaji kumuoa.
Fuata moyo wako, unakwambiaje mara nyingi moyo haudanganyi
 
We live in a generation of not being in love, and not being together » But we sure make it feel like we're together. Because we're scared to see each other with somebody else
 
Usiseme eti nawewe unampenda ni uongo unapenda tuu huduma yake ya chumbani,.Fanya maauzi lakini jua kuwa "muosha huoshwa".

Muungano Mwema.
 
kinachokupa taabu ni elimu yake tu. hayo mengine mbwembwe tu.
elewa elimu si kgezo kizuri cha mke bora,km unaweza kua nae now unaweza kua nae milele na kaizuri zaidi kakupenda ni nadra sana kutokea.

kuna jamaa ni docta mke wake ni std 7,anaishi kwa furaha sana.
 
Mungu tusaidie tulioishia La7
wanaume wa sikuhizi wanatuona hatuna mawazo ya msingi kwa sababu tumeishia La7, jamani wengine hatujapenda ni wazazi tu na songombingo za maisha!

haya tutazikana na wafu wenzetu!
mwache tu atatafuta bwana wa kumfaa, na wewe katafute mke chuoni kwenu!
Tanzania kuna vyuo vingi huko uliko natumaini vipo ,kachukue mke bora.
 
Wadau nina msichana nampenda sana na yeye ananipenda zaidi.

Ishu ni kwamba mapenzi yamekolea kiasi kwamba yamevuka matarajio yangu, mimi nilikuwa namchukulia kama msichana wa kula nae maisha tu huku tunakuwa.

Ila mwenzangu amekolea sana sana kiasi ameshanitambulisha kwa kila mtu wake wa karibu mpaka mama yake. Ameweka picha yangu kwenye kila account yake fb na insta ata Watsapp ameniweka dp.

Sasa wadau nachoomba mnishauri ni jinsi ya kuondoa hii hali kwake bila kuachana, nataka asiwe na mategemeo ya ndoa maana kwa marafiki zake na ndugu zake ni mchumba tayari japo sijawai mtamkia ilo.

Nimwambie nini bila kumkwaza na kuachana aelewe kwamba mupenzi yetu ni ya kupita tu.

Sababu kubwa ya kumuondoa kwenye future yangu ni tabia naona hatuendani mimi nimekuwa mtu wa kumvumilia kila siku, nahisi sababu ya malezi na mazingira ya makuzi hivyo naamuaga nimuelewe tu .

Kingine yeye akumaliza ata form four mimi nna elimu ya chuo hivyo tunakua na gap fulani kwenye maamuzi maongezi ata priorities za kimaisha.

Kuna kipindi nataka kumwacha ila namuonea huruma sababu alivyo kolea, na nikiendelea nae anazidi kudata na anategemea ndoa ndio inanukia.

Nishaurini nimweleshe vipi bila kugombana ata tukigombana tusiwe maadui tuwe marafiki wa kawaida , maana sitaki aondoke kwenye maisha yangu japo siitaji kumuoa.
Ana umri gani?
Kama vipi mtulize kwa kumpiga pini kisha ukipata muda baadae akili ikitulia unaoa, kwa sasa piga chini avimbe juu tumboni!
 
Nanukuuu "kuna msichana nampenda sana" hivi kuna neno ambalo likitumika litaleta uzito zaidi ya hilo ambalo nimenukuu hapo juu? Mtoa sisi sio watoto kama unampenda sana basi huna sababu ya jf tuwatenganishe.
Naamini kama huwa unamwambia unampenda sana meanz no one like her. So sijaona nikushauri nn zaidi kukwambia timiza ulilomwahidi.
Elimu isiwe kigezo cha kutwambia kikwazo cha kumwoa kwa vile unampenda sana wakati hana elimu.
Huruma, huruma uliyonayo ni kutokana na kumpenda sana

My take naomba timiza ulimuahidi only.
Hao wenye elimu unaowataka kwa nn hukuwataka huko chuoni na kumtaka asiye na elimu? Au elimu yako inatumika kama fimbo kwa wasiosoma?
Kumbuka hujafa haujaumbika na vigezo vyako vitakutesa.

Ngoja wajuvi wa phsychologia waje wakwambie ukweli
 
Kwenye miti mingi hakuna wajenzi

Nimesema tu

Cc Smart911
Kwa mtoa mada:
kama hakumpenda na anajua hana future nae kwa nini alimtongoza...
Mapenzi hayajaribiwi wala hayapimwi, mwisho wa siku mwanamke anaweza kumfanyia kitu mbaya aone dunia chungu...

Alafu mtoa mada anajiona ni mtu wa class fulani hivi ya juu, sasa kwa nini kamtongoza mtu ambae yeye anamuona ni wa clasa ya chini. Si angetafuta wasomi wenzake...

Ni tabia mbaya na ni vibaya sana...
 
Kwa mtoa mada:
kama hukunpenda kwa na anajua hana future nae kwa nini alinmtongoza...
Mapenzi hayajaribiwi wala hayapimwi, mwisho wa siku mwanamke anaweza kumfanyia kitu mbaya aone dunia chungu...

Alafu mtoa mada anajiona ni mtu wa class fulani hivi ya juu, sasa kwa nini kamtongoza mtu ambae yeye anamuona ni wa clasa ya chini. Si angetafuta wasomi wenzake...

Ni tabia mbaya na ni vibaya sana...
Mshamba tu.... Huyo mtoa mada hamna kingine sasa wanachuo wenzake hakuwaona anadharau
 
Back
Top Bottom