Anatangaza nia

Bailly5

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
16,495
Reaction score
35,288
Mpaka Ikulu
 

Attachments

  • 1433098552776.jpg
    23.8 KB · Views: 1,436
Mtikila yupo kweli sijamwona siku nyingi sana
 
Kila nikikumbuka alivyoumbuliwa na Rostam wakati alivyomwita fisadi kwa nini amechangia kanisa, jamaa akatoa karatasi yenye saini yake miezi 6 nyuma alivuta mil 3 za kanisa... Akabaki "inawezekana lakini nitarudisha... hata hivyo hizi ni pesa zetu hizi..." Hahaaa, Mtikalaaaaaaa.
 
Halafu cha kusikitisha waliokaa hapo wote mawazo yao hayapo hapo!
 

hahahahahah ela kitu kingine mkuu
 
Jamaa ni noma aliwapiga kitu jamaa wa tanescol.na.kata rudisha yao ya umeme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…