Anatamani mtoto anaefanana na mimi

Anatamani mtoto anaefanana na mimi

livewise1

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2019
Posts
837
Reaction score
968
Habari za weekend wana JF.
Kuna mdada mmoja imetokea kuzoeana na tunaishi mitaa ya karibu ( sio mtaa mmoja)

Anauza duka la hardware pale kariakoo la babake (Japo yeye ameniambia baba yao amewagawia biashara watoto wote 4 ye ndio kapewa hiyo maana alikuwa anaisimamia tangu yupo shule)
.
Katika story tulikuwa tunapiga akaniuliza napenda nini kwenye maisha yangu?!!?
....nikamwambia navyopenda (vitu)
Sasa nikamuuliza nae "enhe na wewe unapenda nini?!"
Jibu: napenda nipate mtoto anaefanana na wewe (akacheka kwa aibu).
Nilipomwambia Mungu akujaalie akasema nawe pia akujaalie.

Najiuliza ili apate mtoto anaefanana na mimi si inabidi mimba yake inipende ambayo itakuwa ni out of her control.

Kumbuka sio wapenzi ( just mazoea na nahisi ana mchumba ambae ni mfanyabiashara mwenzake)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom