Huyo jamaa anakimbia past kangaroo, while kangaroo amesimama tu.
Sijaona kama kuna mahusiano ya matukio hayo mawili.
Sijajua mtoa mada unamaanisha kitu gani hapo.
Kuna kangaroo hapo? Penye miti hapana wajenzi.Huyo jamaa anakimbia past kangaroo, while kangaroo amesimama tu.
Sijaona kama kuna mahusiano ya matukio hayo mawili.
Sijajua mtoa mada unamaanisha kitu gani hapo.
Huyo jamaa anakimbia past kangaroo, while kangaroo amesimama tu.
Sijaona kama kuna mahusiano ya matukio hayo mawili.
Sijajua mtoa mada unamaanisha kitu gani hapo.
Sasa alitaka kukwiba mayai ya mbuni ama..uchokozi mwingine ngoja kazi aione
si ainame tu amshike miguu hiyo.
Teke lake linamuua simba amini usiamini!
Mkuu huyo si kangaroo ni mbuni.Huyo jamaa anakimbia past kangaroo, while kangaroo amesimama tu.
Sijaona kama kuna mahusiano ya matukio hayo mawili.
Sijajua mtoa mada unamaanisha kitu gani hapo.
Mmhhh habari mpya nainyakua toka kwako.kwamba kick ya mbuni inamkalisha simba?ila kwa maajabu ya mungu kuna uwezekano.jf juu