Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,402
- 4,707
Mrudie mpasue kwa lulenge na wewe muache kimchepukoWanandugu nimerudi tena, nipeni ushauri kuhusu jambo hili. Miezi minne nyuma nilikua na mpenzi niliyempenda sana mpaka kufikia nikajitoa kila hali ili awe na furaha. Ila alichonifanyia sikutegemea kabisa kwa jinsi nilivyokuwa namzingatia kama a geni fanyia kitu kama kile, alikuwa anatoka na mwana flani msanii hapa kitaa, ilikua siri mpaka nikastukia mchongo. Nilicho fanya mimi ni kusitisha mahusiano nae japo nilipata tabu sababu nilimpenda sana ila ikafikia kipindi nikazoea, sasa tangia wiki hii ianze amekuwa akiniandama sana ananitumia wajumbe nisamehe anaomba turudiane, mpaka kufikia jana kajitokeza mbele yangu anataka tuzungumze ila nimemkwepa alaf cha zaid anaimba ya mshkaji. Amemuambia yule mjumbe yupo tayari hata kuflash mimba ili turudiane
Kuna namna umejiweka ndio inayompa faraja kwamba akikushinikiza sana mwishowe utakubali tu ombi lake. Hivi kama mimi hivi mtu anaanzaje kupata wazo la kutaka turudiane?. Anakuwa amesahau nini yaani?Wanandugu nimerudi tena, nipeni ushauri kuhusu jambo hili. Miezi minne nyuma nilikua na mpenzi niliyempenda sana mpaka kufikia nikajitoa kila hali ili awe na furaha. Ila alichonifanyia sikutegemea kabisa kwa jinsi nilivyokuwa namzingatia kama a geni fanyia kitu kama kile, alikuwa anatoka na mwana flani msanii hapa kitaa, ilikua siri mpaka nikastukia mchongo. Nilicho fanya mimi ni kusitisha mahusiano nae japo nilipata tabu sababu nilimpenda sana ila ikafikia kipindi nikazoea, sasa tangia wiki hii ianze amekuwa akiniandama sana ananitumia wajumbe nisamehe anaomba turudiane, mpaka kufikia jana kajitokeza mbele yangu anataka tuzungumze ila nimemkwepa alaf cha zaid anaimba ya mshkaji. Amemuambia yule mjumbe yupo tayari hata kuflash mimba ili turudiane
Hapana si vizuri kufurahia anguko la binadamu mwenzako. Cha kufurahia ni kujua yale uliyopaswa kujua lakini yeye alikuwa anakuficha.MTU anapokuja kuomba ushauri bac kuna kitu ambacho amewaza ila anahitaji kujua kama yupo sahihi ama lah,
HAKUNA KITU KINALETA RAHA KAMA KUMUONA EX WAKO AKIWA ANANYONYOKA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We ni kiazi kabisaWaislamu tulifanya kosa kubwa sana kumpa Nyerere kiti cha Uraisi.
Akatugeuka nakupandikiza mfumo Kristo (UKATOLIKI).
Akatudhulumu eneo ya kujenga chuo kikuu Cha Kiislamu Chang'ombe.
Akatupokonya eneo letu pale Tabora mjini (kuanzia TTC karibu na uhaziri mpaka kule Student Center, Library ya mkoa) na kuwapa kanisa Katoliki.
Akazuia waislamu kwenda kusoma nje, wakawa wanaenda Wakristo pekee.
Akazuia Tanzania kujiunga OIC.
Qmamae zake.
Mwanamke yeyote anayeweza kutoa mimba huyo sio mke achana nayeWanandugu nimerudi tena, nipeni ushauri kuhusu jambo hili. Miezi minne nyuma nilikua na mpenzi niliyempenda sana mpaka kufikia nikajitoa kila hali ili awe na furaha. Ila alichonifanyia sikutegemea kabisa kwa jinsi nilivyokuwa namzingatia kama a geni fanyia kitu kama kile, alikuwa anatoka na mwana flani msanii hapa kitaa, ilikua siri mpaka nikastukia mchongo. Nilicho fanya mimi ni kusitisha mahusiano nae japo nilipata tabu sababu nilimpenda sana ila ikafikia kipindi nikazoea, sasa tangia wiki hii ianze amekuwa akiniandama sana ananitumia wajumbe nisamehe anaomba turudiane, mpaka kufikia jana kajitokeza mbele yangu anataka tuzungumze ila nimemkwepa alaf cha zaid anaimba ya mshkaji. Amemuambia yule mjumbe yupo tayari hata kuflash mimba ili turudiane
Mimi nataka kujua tu hio hela ya kutoa mimba itatoka mfukoni kwake au msanii ndie atalipia?Mimba ataiflash na ngoma je???
Lazma tu watachangia gharamaMimi nataka kujua tu hio hela ya kutoa mimba itatoka mfukoni kwake au msanii ndie atalipia?
MTU anapokuja kuomba ushauri bac kuna kitu ambacho amewaza ila anahitaji kujua kama yupo sahihi ama lah,
HAKUNA KITU KINALETA RAHA KAMA KUMUONA EX WAKO AKIWA ANANYONYOKA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huo upuuzi wako unaoeneza unasaidia niniWaislamu tulifanya kosa kubwa sana kumpa Nyerere kiti cha Uraisi.
Akatugeuka nakupandikiza mfumo Kristo (UKATOLIKI).
Akatudhulumu eneo ya kujenga chuo kikuu Cha Kiislamu Chang'ombe.
Akatupokonya eneo letu pale Tabora mjini (kuanzia TTC karibu na uhaziri mpaka kule Student Center, Library ya mkoa) na kuwapa kanisa Katoliki.
Akazuia waislamu kwenda kusoma nje, wakawa wanaenda Wakristo pekee.
Akazuia Tanzania kujiunga OIC.
Qmamae zake.
Yeap ni kweli mkuu ina raha yakedah watu mna maneno dadek ..at KUNYONYOKA
Mwanamke yeyote anayeweza kutoa mimba huyo sio mwanamke anayefsa kuwa mke chapa amsha hakuna mke hapo, maana ukimwoa akapata lijamaa lingine haoni shida kukuua wewe ili awe na jamaaWanandugu nimerudi tena, nipeni ushauri kuhusu jambo hili. Miezi minne nyuma nilikuwa na mpenzi niliyempenda sana mpaka kufikia nikajitoa kila hali ili awe na furaha.
Ila alichonifanyia sikutegemea kabisa kwa jinsi nilivyokuwa namzingatia kama angenifanyia kitu kama kile, alikuwa anatoka na mwana fulani msanii hapa kitaa, ilikuwa siri mpaka nikastukia mchongo. Nilichofanya mimi ni kusitisha mahusiano nae japo nilipata tabu sababu nilimpenda sana ila ikafikia kipindi nikazoea, sasa tangia wiki hii ianze amekuwa akiniandama sana ananitumia wajumbe nisamehe anaomba turudiane.
Mpaka kufikia jana kajitokeza mbele yangu anataka tuzungumze ila nimemkwepa halafu cha zaidi ana mimba ya mshkaji. Amemuambia yule mjumbe yupo tayari hata kuflash mimba ili turudiane.
Alitaka Nyerere awajengee shule, vyuo nk. Wakatoliki au wakristo kwa ujumla kila walipoweka kambi walihakikisha wanajenga kanisa hapo hapo shule ba hospitali sasa njoo kwao wamejenga madrasa pasipo kujenga hata chekechea hapo hapo afu lawama kwa Nyerere. Missionary na huduma za kijamii ni sawa na maisha na pumzi haviachaniAmka usingizini wewe,acha kuweweseka.Ujinga wa aina hiyo Waislamu mtauacha lini??.Hivi kipindi cha Nyerere hakuna Waislamu waliokwenda nje kusoma?,Je unaweza kuweka hapa Orodha ya majina ya Waislamu ambao ilikuwa waende nje ya nchi kusoma lkn Nyerere akawazuia?.Hivi Wazee wasomi wa Kiislamu km vile akina Prof.Safari,Prof.Shivji,Prof.Musa Assad,Prof.Ibrahimu Lipumba,Prof.Ibrahimu Musa,Abdulrahman Kinana,na wengineo waliosoma enzi za Nyerere waliwezaje km alikuwa anawazuia?.
Wewe ni mwehu sana, swala la kusoma mpaka sasa linaonekana, watoto wa wakristo wanapokwenda shule nzuri nyinyi mnawapeleka madrasa, mnawafundisha na kupigana karate, then mnakuja kulalamika Nini sasa? Jinga kabisa weweWaislamu tulifanya kosa kubwa sana kumpa Nyerere kiti cha Uraisi.
Akatugeuka nakupandikiza mfumo Kristo (UKATOLIKI).
Akatudhulumu eneo ya kujenga chuo kikuu Cha Kiislamu Chang'ombe.
Akatupokonya eneo letu pale Tabora mjini (kuanzia TTC karibu na uhaziri mpaka kule Student Center, Library ya mkoa) na kuwapa kanisa Katoliki.
Akazuia waislamu kwenda kusoma nje, wakawa wanaenda Wakristo pekee.
Akazuia Tanzania kujiunga OIC.
Qmamae zake.
Si ndio hapo Mkuu?!!!.A
Alitaka Nyerere awajengee shule, vyuo nk. Wakatoliki au wakristo kwa ujumla kila walipoweka kambi walihakikisha wanajenga kanisa hapo hapo shule ba hospitali sasa njoo kwao wamejenga madrasa pasipo kujenga hata chekechea hapo hapo afu lawama kwa Nyerere. Missionary na huduma za kijamii ni sawa na maisha na pumzi haviachani