Anataka turudiane

Hivi Wanaume wenzangu tutakomaa lini kiakili?.Sasa wewe mwenyewe umesema kuwa Mpenzi wako alikuwa anadate na jamaa,tena ana hadi mimba yake,Sasa unataka ushauri wa Nini?. Maamuzi yapo mikononi mwako kwasababu haumuolei mtu,huyo anakuwa mkeo kwa hiyo kusuka ama kunyoa ni juu yako.Ikiwa upo tayari kuonekana bwege na moyo wako upo tayari kuoa mtu asiye mwaminifu sawa muoe,kila kitu kipo mikononi mwako.
 
Amka usingizini wewe,acha kuweweseka.Ujinga wa aina hiyo Waislamu mtauacha lini??.Hivi kipindi cha Nyerere hakuna Waislamu waliokwenda nje kusoma?,Je unaweza kuweka hapa Orodha ya majina ya Waislamu ambao ilikuwa waende nje ya nchi kusoma lkn Nyerere akawazuia?.Hivi Wazee wasomi wa Kiislamu km vile akina Prof.Safari,Prof.Shivji,Prof.Musa Assad,Prof.Ibrahimu Lipumba,Prof.Ibrahimu Musa,Abdulrahman Kinana,na wengineo waliosoma enzi za Nyerere waliwezaje km alikuwa anawazuia?.
 
Acha udini. Hii nchi ni ya watanzania. Si waislam wala wakristo au imani yoyote ile.
 
Mwanaume mzima unakosa msimamo?
Hata hili unaomba ushauri?

Mwanamke kakusaliti kabeba mimba haalf unajishauri?
Pathetic
 
Acha uboya ww huyo kaisha achwa na mshikaji fanya yako
 
Kwahiyo hayo aliyofanya hamuhesabu kama ni udini!
Kila kiongozi aliepita nchi hii ana matatizo yake. Mpaka hata huyu alieko sasa ana matatizo yake.

Unataka malaika? Nenda Mbinguni

In the end kila kiongozi alifanya aliwezalo. For public interest. Sio kila mtu atafurahia.. wapo watakao mind.. kama ww. So sishangai
 
Unaulizwa mkojo unaleta mavi!
 

dini itakumaliza bado mpaka miaka hii 2022
 
MTU anapokuja kuomba ushauri bac kuna kitu ambacho amewaza ila anahitaji kujua kama yupo sahihi ama lah,

HAKUNA KITU KINALETA RAHA KAMA KUMUONA EX WAKO AKIWA ANANYONYOKA
 
Pole sana, hayanaga mungoz, weka picha yake upewe ushauri...
 
Mkuu hacha ujknga kutuletea Udini unataka kuligawa taifa iwe vita et kua na akili ata kidogo bhana.
 
Ushauri WA nini sasa Muambie alee mimba na msanii wake wewe uwe mchepuko tu
 
Waislam ni makapuku tangu kitambo na wamekalia kusoma maandishi yasiyoeleweka
unataka tuwe na alshabab?
dogo hebu kojoa ukalale
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…