Safi sana gfsonwin !dah! hapa sijui nisemeje kwa kweli.
lakini LAKI kwangu mimi labda nikwambie hivi uzinzi ni dhambi that is the fact. na pia kuzini sio sababu ya wewe kuolewa na mwanume yeyote yule. Kadhalika ubikira sio sababu ya wewe kuolewa na mwanaume yyte yule ama pia sio kisingizio kwamba utakapoolewa utaendelea kuwa mtu safi kweye ndoa yako.
kwangu mimi jambo ambalo wewe ungeangalia ni hivi, huyu kijana kwanza ni mchumba kwako ama ni rafiki tu?? na je kwenye mahusiano yenu unaona kweli unamuhitaji huyo kijana na yeye anakuhitaji?? kama kweli mnahitajiana na unampenda sion sababu ya nyie kusubiri harusi za mwaka kesho ndipo muanze kufaidi penzi lenu. ningekusahuri nendeni kwa wazazi tambulishaneni mfunge ndoa kabla ya mwaka kesho ili mpeane haki yenu. kama mnang'ang'ania harusi za gharama ndipo mpeane tundi utachemka manake kijana atakapochoka kusubiri atatafuta liwazo na mwisho wa siku hatakuwa wako tena.
Nakubaliana na wewe,mwanaume lazima uonje yani u taste..hiki chakula je ni kizuri...size yangu?hakikinaishi hiki?etc sio mambo ya kuuziana mbuzi kwenye gunia. Halafu ndoa iwe ya karaha na bada ya mwezi tu mnaanza mfarakano kwa upande wa mdada lazima na yeye ajue vp jamaa mgegedo wake size yang?ukute ni kipipi mana kimepitiliza hd kwenye kibamia pale ikawa ukikohoa tu kitu kinatoka out,pia je kidume kinasimamisha?nayo take into consideration!!Je anakuridhisha kiasi huwezi mkumbuka juma wako wa zaman!!!etc etc
Sent from G-spot
unajichanganya sana bibie, unaogopa kufanya mapenzi au ni msimamo wako mpaka ndoaHabari za mchana wandugu, kama mnakumbuka post yangu kuhusu kuanza mahusiano kwa mara ya kwanza, tunapendana sana ila tatizo anataka tufanye mapenz kabla ya ndoa, kila nkimshauri tusubirie mwakani baada ya ndoa yetu Mungu akipenda hanielewi, mi binafsi sipo tayari kwani naogopa maana sijawahi kufanya mapenz. Naomba ushauri wenu wana jf, maamuzi ninayochukua yapo sahihi?
....ukimuoa afu akakuta hauna je?
Inaonekana kama utani lakini iliwahi kutokea! Msichana mmoja mrembo alilkuwa hana! Ilikuwa hivi, msichana huyo alizaliwa mlemavu wa sehemu za siri. Alikuwa na katundu kadogo tu ka kutolea mkojo lakini hakuwa ma kasoro nyingine yoyote na alikuwa mrembo sana maskini! Wanaume walikuwa wakimpaparikia wanamhonga hela, zawadi, kumtoa out ,n.k. Yeye alikiuwa mchangamfu na hakatai wanaume! Mwanaune akifika naye geto au gesti anampetipeti kama kawaida, kisses,caressing,nk. Akifika kwenye hitimisho, yaani kumvua nguo, anapotaka kuingiza anakuta ukuta mgumu. Akicheki vizuri anakuta kitu hakipo!!! Akimuuliza anasema ndivyo alivyozaliwa, mwanaume hapo anaishiwa pozi anaamua kupotezea. Kwa hiyo ulichosema Evelyn Salt ingawa ulikuwa unatania kinawezekana japo ni nadra sana.
Endelea na msimamo wako huo huo, usifanye mapenzi kabla ya ndoa .......Mungu hapendi!
Kama wewe ni mwanak basi uko sahihi ila mshauri tu kama kweli anakupenda nawe wampenda aje kwa wazazi wako akuchumbie, baada ya process ya uchumba kukamilika hapo mnaweza kuamua chochote, lakini kama wewe ni mwanaume basi hakuna kusuburi ombi la mwanakei......Habari za mchana wandugu, kama mnakumbuka post yangu kuhusu kuanza mahusiano kwa mara ya kwanza, tunapendana sana ila tatizo anataka tufanye mapenz kabla ya ndoa, kila nkimshauri tusubirie mwakani baada ya ndoa yetu Mungu akipenda hanielewi, mi binafsi sipo tayari kwani naogopa maana sijawahi kufanya mapenz. Naomba ushauri wenu wana jf, maamuzi ninayochukua yapo sahihi?
mmhh!! mkuu taratibu.....hiyo ndo habari ya mujini dada,we ni mlokole?mimi sijawahi kuona ndoa kabla ya kula tunda labda enzi hizoooooo za mababu zetu
kweli umenena mkuu, vipi lakini hujambo wewe???Endelea na msimamo wako huo huo, usifanye mapenzi kabla ya ndoa .......Mungu hapendi!
mmhh!! mkuu taratibu.....