Habari za mchana wandugu, kama
mnakumbuka post yangu kuhusu kuanza mahusiano kwa mara ya kwanza,
tunapendana sana ila tatizo anataka tufanye mapenz kabla ya ndoa, kila
nkimshauri tusubirie mwakani baada ya ndoa yetu Mungu akipenda
hanielewi, mi binafsi sipo tayari kwani naogopa maana sijawahi kufanya
mapenz. Naomba ushauri wenu wana jf, maamuzi ninayochukua yapo
sahihi?
gfsonwin popote ulipo, naomba upitie hapa kutoa ushauri. Mi nshaanza wkend, niko chakali, sidhani kama naweza kuongea cha maana!
Nimeipenda hii sentensi, gfsonwin wewe ni mwalimu kweli kweli!dah! hapa sijui nisemeje kwa kweli.
.... ningekusahuri nendeni kwa wazazi tambulishaneni mfunge ndoa kabla ya mwaka kesho ili mpeane haki yenu. ....
Nimeipenda hii sentensi, gfsonwin wewe ni mwalimu kweli kweli!
Nakubaliana na wewe,mwanaume lazima uonje yani u taste..hiki chakula je ni kizuri...size yangu?hakikinaishi hiki?etc sio mambo ya kuuziana mbuzi kwenye gunia. Halafu ndoa iwe ya karaha na bada ya mwezi tu mnaanza mfarakano kwa upande wa mdada lazima na yeye ajue vp jamaa mgegedo wake size yang?ukute ni kipipi mana kimepitiliza hd kwenye kibamia pale ikawa ukikohoa tu kitu kinatoka out,pia je kidume kinasimamisha?nayo take into consideration!!Je anakuridhisha kiasi huwezi mkumbuka juma wako wa zaman!!!etc etcdah! hapa sijui nisemeje kwa kweli.
lakini LAKI kwangu mimi labda nikwambie hivi uzinzi ni dhambi that is the fact. na pia kuzini sio sababu ya wewe kuolewa na mwanume yeyote yule. Kadhalika ubikira sio sababu ya wewe kuolewa na mwanaume yyte yule ama pia sio kisingizio kwamba utakapoolewa utaendelea kuwa mtu safi kweye ndoa yako.
kwangu mimi jambo ambalo wewe ungeangalia ni hivi, huyu kijana kwanza ni mchumba kwako ama ni rafiki tu?? na je kwenye mahusiano yenu unaona kweli unamuhitaji huyo kijana na yeye anakuhitaji?? kama kweli mnahitajiana na unampenda sion sababu ya nyie kusubiri harusi za mwaka kesho ndipo muanze kufaidi penzi lenu. ningekusahuri nendeni kwa wazazi tambulishaneni mfunge ndoa kabla ya mwaka kesho ili mpeane haki yenu. kama mnang'ang'ania harusi za gharama ndipo mpeane tundi utachemka manake kijana atakapochoka kusubiri atatafuta liwazo na mwisho wa siku hatakuwa wako tena.
Muulize yke ilitolewa darasa la ngp! utachoka mwenyewe.
Muulize yke ilitolewa darasa la ngp! utachoka mwenyewe.
Unataka kumkabidhi mbuzi ndani ya gunia?Habari za mchana wandugu, kama mnakumbuka post yangu kuhusu kuanza mahusiano kwa mara ya kwanza, tunapendana sana ila tatizo anataka tufanye mapenz kabla ya ndoa, kila nkimshauri tusubirie mwakani baada ya ndoa yetu Mungu akipenda hanielewi, mi binafsi sipo tayari kwani naogopa maana sijawahi kufanya mapenz. Naomba ushauri wenu wana jf, maamuzi ninayochukua yapo sahihi?