hah... kalagabahowewe mwenye pic hapo ndo unataka uachwe au ndo unataka umuache mwenzio?mpz yanauma.hapo huna chako angalia maisha yako songa mbele,kuna 7bu nyuma ya kauli ya mpz wako.utaijua tu ukifatilia vzr,huu ndo ukweli.Fanya maisha yako.by the way Uzi wako ungepeleka jukwaa LA mapenzi.labda umechanganyikiwa.pole