Anataka nizae naye watoto

Acha ujinga baki na mke0
 
Wapo wengi sana wa namna hiyo, usijichanganye hata kumt******* mwambie unampenda mke wako viungo vyako haviko tayari kukutana na vyako.
 
Nipe Namba Yake,ila Nitachakata Kwanza Kwa Kipindi Cha Miezi 12 Kupanua Njia Asije Mbana Kichwa Mtoto
 
Kawaida mtu akishaandika anahitaji ushauri kwa jambo binafsi kama hilo basi elewa hamna kitu humo kichwani, mambo kama hayo yanahitaji maamuzi ya kiume sasa kama huwezi kuamu mwenyewe basi hata huyo mke ulienae sijui kama hukuchaguliwa na watu. Hatuwezi kukushauri kwa sababu uko kinyume na mtazamo wetu
 
Haya mambo yapo kabisa. Mimi namjua mtu mumewe hana uwezo wa kuzalisha ila dada kabla ya kuolewa alishzaa na mtoto alikuwa bahati mbaya na pia alipata miscarriage before ndoa na sio za mumewe. Sasa huyu Dada ana shida na mtoto akamfata shemeji yake wanafanana sana na mumewe akamuomba Ampe mimba ili nae azae atasema mtoto ni wa mumewe. Mwanaume alikataa kata akasema bora azae nje ya ndoa na kuwa huru na watoto wake kuliko kuzaa halafu mtoto wake apewe mwingine ilhali anajua ni mtoto wake.
 
Jibu ni simple tu, mwambie haiwezekani. Acha upendo wa mshumaa, kuogopa kukuumiza yeye alafu ujiumize wewe mwenyewe.

Leo anajiweza, lakini ya kesho huyajui. Ikitokea mambo yamemuendea kombo, kuna siku utarudi toka job ukute watoto kawaleta kwa mkeo, alafu yeye katokomea, wewe unabaki na msala.

Kama wewe na mkeo mnaelewana vizuri, basi task Yako kubwa ni kumaintaint hiyo amani ambayo mnayo. Hakuna mwanamke anayependa kulea watoto wa nje, especially kama hao watoto wamepatikana tayari mkiwa kwenye ndoa
 
Ishi na mtu umjue . Usikurupuke asee mwanzo watu huficha makucha as days goes ndio utajua hujui

cc Smart911
 
Hahahaaaa.....imebidi nicheke.

Jaribu uone utakavyojuta.

Akiwa na mimba tu utakimbia Nchi.

Inaonekana huyo mwanamke anakuzidi akili, kipato na ufahamu
Ameshasema yeye mwenyewe mwanamke ana akili ya maisha
 
Ok
 
Kuna haja tz kuwe na maabara watu tuweke mbegu huko anayetak akachukue na kufanya production. Inaonekana sasa uhitaji ni mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…