Kama baba mtoto anataka kumpeleka mwanae boding mshauri mchumba wako akubali.Kama vipi jaribu kwa kujifanya wewe ndo unataka kumpeleka boding angalia pumzi zake kama atakubali ndo uanze kumshauri amkuballie baba mtoto wake kumpeleka mwanae bweni.
Lakini waswahili wanasema ukipenda boga penda na ua lake.Vinginevyo ukiacha mawasiliano yao yaendelee watakuwa wanakumbushia enzi.Mpende mtoto wa demu wako.
Kwanza nikuombe samahani kwa ushauri wangu. Pili nikushauri kuogopa akinamama ambao wana watoto maana huwezi kuoa mtu na mtoto. Tatu mtoto kama ni wa kiume akikua takuchapa tu na ndiye atakuwa chanzo cha kuachana na mkeo. Nne mtoto na mzazi wake ni kidole na pete unaweza kuivua ila huwezi kuiacha aslani, nina maana wewe tunza lakini mwisho wa yote atarudi kwa baba yake tu
Pole, ni rahisi sana! Baba wa mtoto Ana wajibu wa kumtunza mtoto hata km hayupo mikononi mwake, na ustawi hawawezi kukubaliana na baba kugoma kumtunza mtoto kisa hayupo kwake, unafahamu kuwa sheria ya mtoto inakubali mtoto akae na mama hadi miaka 7 alafu mtoto mwenyewe achague km anataka kwa baba au mama. Suala la mamake kukataa ofa za baba kwa mtoto ni YEYE MWENYEWE ATAKUWA NA SHIDA ZAKE.. WEWE MWEKE WAZI MKEO MTARAJIWA KUWA UNAHISI UKAKASI KUMTUNZA MTOTO AMBAYE ANA BABA YAKE!! BABA MTOTO ATAMCHUKUA AKIWA MDOGO HIVI JSA KUMUIBA AS U KM ILIVYITOKEA KWA MH, SUGU.
Samahani kwa swali hivi ni kwa nini aliachwa!?? Pole lakini.
kwa ahad hii natarajia sku si nying utatuletea uzi wa kuwa umemuoa huyo shemej yetu na unalea na mtoto wake
Unafikiri wewe unamjua vizuri huyo mwanamke kuliko huyo jamaa ambaye amezaa nae,lakini kama haitoshi pia na mahari alishamtolea,ila akamuacha??...lakini pia hujiulizi kwa nini ni muongo muongo,maana maelezo yake ya awali kuhusu mtoto na huyo jamaa yanapingana vikali na maelezo ya mara ya pili ambayo niya uhakika 100%...
Mara zote wanawake wamekuwa ni watu wakuzungumza lugha zenye kuhitaji huruma sana kuhusu maswala ya kwa nini waliachwa,hawawez kuzungumza ukweli..
Binafsi namuona huyu mwanamke ni mtu muongo muongo sana na kwa mtazamo wangu hafai..
Aliniambia jamaa alikuwa anachepuka kwa huyo mke wake aliye naye! Ugomvi ukazaa kuachana
Alikuambia....nawe ukamuamini!! Mbona huyo mchumba anaonekana muongo, au wewe hulioni hilo?
katasan'kaza inaelekea hapo tatizo hutaki kuishi na mtoto wa mwenzako. siri ya kumtuliza mwanamke ni kumpenda mtoto wake. angekukuta wewe na mtoto ungefanyaje ? shule za boarding kwa mtoto wa miaka minne ni hatari mno kwa makuzi ya mtoto. fuata ushauri wa mchangiaji jengele amemaliza yote
umeshavurugwa na mahaba ushauri utakaopewa sijui kama utaupokea
katasan'kaza inaelekea hapo tatizo hutaki kuishi na mtoto wa mwenzako. siri ya kumtuliza mwanamke ni kumpenda mtoto wake. angekukuta wewe na mtoto ungefanyaje ? shule za boarding kwa mtoto wa miaka minne ni hatari mno kwa makuzi ya mtoto. fuata ushauri wa mchangiaji jengele amemaliza yote
Katika mahusiano hakuna kitu kibaya kama ubinafsi..........