ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Mtoto asiende boarding bado mdogo sana.Pia asiende kwa baba yake,mama wa kambo atamtesa.Wewe kijana,muoe huyo dada na mlee mtoto.Je ungekuwa wewe ungejisikiaje kuachwa kwa ajili ya mtoto?Mpende mtoto,mfanye mwanao.HABARI YA BABA YAKE,ACHANA NAYO!UNAFATILIA ILI IWEJE?MBONA KUNA WANAUME WENZIO WANALEA HADI WATOTO WATATU,TUMIA BUSARA!
Asante mkuu kwa ushauri nitaufanyia kazi.
Nilikuwa na mawazo tofauti ila kwa kuwa umeshaamua kufanyia kazi ushauri wa mdau... then kila la kheri.
Kiukweli mpenzi wangu analalamika sana, analia mno anasema maneno ya kuumiza eti bora angekuwa na mama, dada, kaka au baba anasema isingekuwa shida pakumpeleka mtoto wake...! Hii kitu inaniumiza sana mkuu licha ya kwamba ushauri nauona makini...!
Wewe ni mtu mzima, maswala ya kulipiwa na kuchukuliwa kwa mtoto nadhani wewe umeyasikia tu, ivo bas endapo mimi ningekua wewe, ningeomba kukutanishwa na baba mtoto na kujadili swala la mtoto na conclusion ipatikane hapo.
Hebu lea huyo mtoto, utapunguza frequency za yeye na mzazi mwenzie kukutana. Mimi hapo tatizo silioni we jiamini muoe huyo dada.
Mwambie akwambie sababu za kuachwa na mahari kusamehewa ninini maana anaonekana muongomuongo
Pls nitaomba ushauri chanya! Unaweza ukawa wa kuvunja uhusiano ila uwe unatoa postive solution.
Jamaa hawezi kurudi kirahisi maana wanaantogonist kubwa sana! Ata hapo jamaa anafanya kumkomoa.
Kwa kuwa umekiri mwenyewe umekolea mahaba, basi kubali yote. Mimi nilijichangañyà kamà wewe na leo najuta!
Aliniambia jamaa alikuwa anachepuka hivyo wakawa wanagombana ndiyo jamaa akaamua kuugeuza mchepuko kuwa njia kuu!
Asante mkuu kwa ushauri nitaufanyia kazi.