Anataka nimpe mimba azae na mimi ila ni mkubwa kwangu

e2n

JF-Expert Member
Dec 24, 2015
636
790
Heri ya mwaka mpya wanajamvi,

Mimi ni kijana ninamiaka 27, ninarafiki yangu wa kike ambae ambae anataka nimpe mimba. Ila ubaya mimi sina mtoto na wala sijaoa ila yeye aliolewa na anawatoto 4. Sasa anadai anahitaji mtoto toka kwangu kulea anasema atalea mwenyewe.

Naombeni ushauri maana hali hii nimekutana nayo kwa wanawake wengi sana. Huwa nawakatalia sasa naona inajirudia.

Nisaidieni wakuu.
 
Kama uko na hiyo mimba, si umupatie tu?
 
Huyo anataka kujindoanisha mapema kabla wengine hawajachangamkia fursa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom