mwanajimbah
Member
- Jun 27, 2012
- 95
- 21
wat goes around comes around yameshamkuta huyo...unajua wakati mwengine binaadamu tunafikria yaliyopo sasa tu hatufikirii out of the box...
Ushauri wangu kwako ni kwamba huyo ndio baba mzazi wa huyo mtoto ijapokuwa alishamkataa na kwa nilivyoelewa hakusaidii katika malezi/matunzo ya huyo mtoto..lakini huwezi kubadili fact kwamba yeye ndio biological father.hata hili suala likichukuliwa kisheria huyo mwanaume ana haki ya kuwa baba wa huyo mtoto.na huyo mtoto ana haki ya kumjua babaake mzazi.
Naelewa misukosuko ulopitia nakupa pole sana kwa hilo lakini kumbuka ukifikiria sana jinsi watu/jamii watakavyokufikiria hutoendelea.katu usifanye kitu kumridhisha mtu au watu, fanya kitu kwasababu nafsi yako inataka hivyo isitoshe lolote utakalofanya watu hawakosagi la kusema.
Kuhusiana na mumeo anajua tangia ulipokuwa mjamzito kuwa huyo mtoto si wake,sidhani kama atakosa uelewa iwapo baba mzazi wa mtoto akitaka mwanae,yeye ndio mlezi mkuu wa huyo mtoto na kitu kimoja ni kwamba thamani yake haitoshuka kwa huyo mtoto abadani,mtoto anamthamini yule anaemlea kwa upendo...
Akienda mahakamani watapima DNA!
Kwa madai ya kuwa mtoto wako yuko katika ndoa nyingine?
Ana ushahidi gani kuweza kuishawishi mahakama kuwa mtoto ni wake?Jeanclaude! Sidhani kama ana haki yeyote;
Ni kama katika Biblia jinsi ESAU alivyouza haki yake ya mzaliwa wa kwanza.
Bazazi!
Usichukulie poa, hapo baadaye itawaletea shida kubwa, kaa na mume wako zungumzeni kama vipi mpeni mtoto wake maana hiyo ni damu yake.
hilo swala lingekuwa wazi kwa wazazi wa pande zote mbili ingekuwa rahisi kuwashirikisha wao....ila kama wanajua mtoto ni wa mumeo....nadhani ndo kipindi cha wao kujua ukweli ......ongea na mumeo kuhusu kuwaeleza wazazi ukweli ili na wao wawasaidie kutoa mawazo ya nini cha kufanya......
Ahsante Judge! Manake hii kesi ikija kwako huyu ni tupa kuleee!
Akienda mahakamani watapima DNA!
mimi nashindwa kuelewa jambo moja hapa na hapa ningeomba Bazazi kaka yangu mpenzi anieleweshe. ivi mtu aliyekukataa miaka 5 liyopita ukiwa na ujauzito wa miez 2, leo hii anawasiliana na wewe je nini kilichowakutanisha hadi mkaanza kuwasiliana??
je kama jambo hili liko wazi kwa mume mlezi je mbona hujaweza kumwambia juu ya usumbufu wa huyu baba mzazi??
sawa alilea mimba na sasa analea mtoto je ipo wapi shida ya kuongea nae juu ya hatma ya huyu mtoto?
Maswali yako gfsonwin sina majibu kwa kuwa sioni mantiki ya mawasiliano yao.
Kwanza sijui ilikuwaje wakaanza kuwasiliana na ili iweje?
Kwa nini mwanamke anayaruhusu mawasiliano hayo?
Kwanini mwanaume (maluuni) hajifungi kibwebwe kumfuata mwanaume mwenzake wayaongee?Hoja kama hii iliwahi kuletwa JF kama sikosei mwaka 2008:@nginaeli kwa nini huitumii elimu yako (Masters) kumaliza kikaango chako?
Ingawa ziko tofauti kidogo;
Ile likuwa mtoto wa katikati (ndani ya ndoa) baada ya mwanamke kuzini.
Anayeweza kuiweka hapa amsaidie dada wa watu asije kuheuka bure?
Ingawa namshauri aachane na huyo maaluni wake asiye na hata chembe ya utu;
Ukatae mimba leo baada ya miaka kadhaa udai mtoto;
Hata hivyo nadhani jibu zuri ni kuwa baada ya kuikataa mimba niliitoa!
Je bado unakumbuko mikito ya baba ya mtoto?
Mumeo u nampenda kweli au ulimkubali kwa sababu alikubali mimba isiyo yake?
Piga chini mawasiliano na huyo maaluni haraka;
Huku ukimjuza mumeo lakini kama unampenda kweli.
Bazazi
This is what I'm telling you. YOU DO NOT GIVE HIM HUYO MTOTO, alishindwa na alimkataa, then what. Mwambie huyo mtoto sio wa kwake ikiwezekana. Watu wa namna hii ndo huwa wanasababisha ongezeko la watoto wenye maisha magumu.Nahic aliamua kukuharibia maisha yako, so Kama na mbwai na iwe mbwai
kama bidada hajabadilisha namba ya simu lazima jamaa atakuwa na namba yake.....kwa hiyo kuwasiliana haikwepeki.....na huyu jamaa kamfwata bidada baada ya kuona ndani ya miaka mitatu ya ndoa yake hajapata mtoto ndo kakumbuka kuna mahali alikataa mtoto ndo mana imebidi amtafute huyo dada......kukaa na mumewe kulijadili hilo swala ni muhimu ila kumbuka walifanya siri kwa wazazi wote kuhusu baba wa huyo mtoto ndo mana nikasema ni vizuri akakaa na mumewe na pia ni kipindi cha wazazi wote kujua ukweli....ili waweze kuwasaidia kwa upande mwingine jinsi ya kulitatua hilo tatizo
Siyo sahihi
Kuna tatizo hapo...... hasa kwa huyu bi dada mleta uzi...
1. Anasema huyo bwana alikataa mtoto ikiwa ni mimba ya miezi miwili ...na hivi sasa huyo bwana anamsumbua kwa simu na hata ofisini anafika...tafsiri yake ni kwamba BADO WANA MAWASILIANO
2. Mtoto huyo kwa umri aliofikia sasa anafahamu kwamba baba mlezi ndiye BABA YAKE...fikiria maumivu ya kiakili atakayopata wakati atakapoambiwa kwamba huyo anayemlea kwa sasa siyo baba yake....
3. Huyu mleta uzi inaonesha amechanganyikiwa....unaweza kuliona hilo katika maandiko yake....bado anahisia na huyo MTUNGA MIMBA na mumewe hajui hilo na hawajawahi kulijadili...hilo linajieleza kwa yy kuleta hilo suala hapa kwenye jukwaa...KAA NA MUMEO PERIOD