Anataka mimi tu

MONTESQUIEU

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
847
80
Mpenzi wangu anataka kupigiwa sim kila siku yeye hapigi hata! nikiacha piga analalamika sana

Jaman haya mapenzi yamekaaje?
 
inaonekana ndivyo ulivyomwendekeza,sasa inakula kwako,mapenzi gani hayo ya upande mmoja
 
Pole sana dadangu,,,Mambo kama hayo huwa yanatokea sana kwa wadada na si kwa wakaka kama ilivyo kwa mpenzi wako,Nadhani huyo kahisi wewe unampenda kuliko yeye anavyokupenda, na kwamba huwezi kuishi bila yeye,,mwambie kwa busara tu kuwa "Love is a two-way traffic responsibility" nadhani atakuelewa na kujirekebisha!!
 
heee mgeni huyooo??? karibu habari za huko??? naona umeketi sitting room hivi uligonga mlango kweli???
Pole sana dadangu,,,Mambo kama hayo huwa yanatokea sana kwa wadada na si kwa wakaka kama ilivyo kwa mpenzi wako,Nadhani huyo kahisi wewe unampenda kuliko yeye anavyokupenda, na kwamba huwezi kuishi bila yeye,,mwambie kwa busara tu kuwa "Love is a two-way traffic responsibility" nadhani atakuelewa na kujirekebisha!!
 
pole sana dadangu,,,mambo kama hayo huwa yanatokea sana kwa wadada na si kwa wakaka kama ilivyo kwa mpenzi wako,nadhani huyo kahisi wewe unampenda kuliko yeye anavyokupenda, na kwamba huwezi kuishi bila yeye,,mwambie kwa busara tu kuwa "love is a two-way traffic responsibility" nadhani atakuelewa na kujirekebisha!!

asante sana kwa ushauri ntajaribu mueleza !
 
Mbadilikie...akikuuliza mbona hujanipigia unamwuliza mbona WEWE hujanipigia?Watu wa aina hiyo wanaboa...ila wengine ni tabia tu haina maana wewe sio muhimu kwake!Kama unaweza kaa kimya kama siku mbili au hata tatu uone kama hatakutafuta!
 
Then kama wewe wa kike nadhani kwahitajika more explanations za mambo kama;
- muda gani mmefahamiana
- wakati mnafahamiana (ingawa umeseama ana mapesa) alikuwa na hali gani kiuchumi
- malezi yake (background)..
- tabia yake in general. Ana tabia ya kupigia watu wengine? marafiki zake? esp wa kike?
- does he cater for other services ama pia huduma nyingine (e.g. mkienda out) ni wewe unagharamia!
 
He doesnt miss your Voice!!
You are the one who misses His voice.
Hilo la kulalamika humpigii simu wakati yeye hakupigii, Ni gumu kutoa ushauri kwasababu jibu liko wazi.
 
Montesquieu ni jina la kike? Duuuuu, humu JF it appears kuna watu wanajiita Judy, Aisha wakawa ni madume basi! Kama kweli ni wa kike sishangai kukutana na hiyo hali maana akina dada ndo wako hivyo, sasa kwako ni tofauti huenda jina limechangia!
 
Huyo hujampa anachopenda,try to get into his mind ili muda mwingi awe anakufikiria wewe! aaah mbona atapiga tu
Changamka..wanaojua kuweka naniliu kwenye kisosi watakuibia
 
huyo hujampa anachopenda,try to get into his mind ili muda mwingi awe anakufikiria wewe! Aaah mbona atapiga tu
changamka..wanaojua kuweka naniliu kwenye kisosi watakuibia

ehe kipi hicho tena?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom