Ebu jitabulishe kwanza,Umri wako na unafanya kazi au unasoma?..........
Nilitaka aje awe mama watoto wange siku za baadae ila sio kwasasa na ndo maana sijataka hata kushiriki nae! But nashangaa kasi anayokuja nayo hasa kipind hiki anachokwenda maliza chuo!
Nimemaliza ifm mwaka jana na sasa nafundisha CPB reviews hapa BOT training centre mwanza! Nina miaka 25!
Kwanini useme hii ni News Alert?
unamwalert nani sasa?
Nimemaliza ifm mwaka jana na sasa nafundisha CPB reviews hapa BOT training centre mwanza! Nina miaka 25!
Mwezio yupo tayari kuwa na mtoto...Kama wewe hutaki basi sio umtangazie...Huna adabu...
Kusoma na kuwa na mimba si hoja wapo wengi tuu vyuo vikuu na wana watoto..Elimu haina mwisho...
Km wewe humtaki na huna malengo nae sepa...Kumtangazio mwenzio hivyo wkt anahope wewe ndio mwenzio sio ustaarabu inaelekea hata elimu huna ndio maana upo hivyo sababu elimu inasaidia kumfumbua mtu kifikra
kampime mimba kwanza alafu ndo umpachike isije ikawa anamimba kama 2mnth alafu anataka kukubebesha mzigo ili uwe unagaramia ,hawa wadada wajanja mno
Nilitaka aje awe mama watoto wange siku za baadae ila sio kwasasa na ndo maana sijataka hata kushiriki nae! But nashangaa kasi anayokuja nayo hasa kipind hiki anachokwenda maliza chuo!
Habarini za kwenu wana jamvi?
Matumaini mko poa!
Jamani nina demu yuko pale ifm! Sasa ni miezi mitano nipo nae kama mpenzi!
Na yupo mwaka wa tatu anamaliza mwezi sita! Sasa kwa sasa hivi nimeanza kumuona ananisumbua!
Maana kila wakati ananiambia anataka mimba eti anataka kuzaa, before wakati hatujawa wapenzi alikua anadai awezi zaa kabla ya ndoa!
But kwa sasa ananisumbua sana yaani anataka ujazito ili mradi aitwe mama watoto wangu!
Jamani ana ajenda gani ya siri nyuma ya hiyo mimba?
wanachuo wanadanganyika sana na maisha ya chuo...hawajui life linakaba vipi mtaan
We mwache waalaa usimpe mimba aje mtaani akae a year uone kama atadai mimba.Hapo kaona shoga yake anamimba basi nae anafata mkumbo....wazembe sana kufikiri hawa watu
But kwa sasa ananisumbua sana yaani anataka ujazito ili mradi aitwe mama watoto wangu!