Anataka mimba

Anataka mimba

wanachuo wanadanganyika sana na maisha ya chuo...hawajui life linakaba vipi mtaan

We mwache waalaa usimpe mimba aje mtaani akae a year uone kama atadai mimba.Hapo kaona shoga yake anamimba basi nae anafata mkumbo....wazembe sana kufikiri hawa watu

Duh!!!!!!!!
 
Umpe hiyo mimba anayotaka huwezi achia wanaume wenzio wafanye kazi
 
wanachuo wanadanganyika sana na maisha ya chuo...hawajui life linakaba vipi mtaan

We mwache waalaa usimpe mimba aje mtaani akae a year uone kama atadai mimba.Hapo kaona shoga yake anamimba basi nae anafata mkumbo....wazembe sana kufikiri hawa watu

hakyanani hajui street pakoje..akimaliza ndo ataisoma namba,na hata kazi ukipata inategemea na sehemu.i have a friend wahindi walimstopisha kazi kisa mjamzito maternity leave wakaona itawacost..badala akitulize kwanza asome anakazia mimba,utoto bana
 
uuuuupsi mimba anataka mbona balaa
nimependa uliposema HUJAMGEGEDA bdo au anahofu labda huna kujoloeo??
nakushauri kaa mweleze malengo yako ya future wewe huna nia ya hit n run

pia mwambie kulea mimba mimba na kitabu sio kazi rahis
 
My dear, i have been telling her those staff but she dont want to here those stories! Na ndo anamaliza mwaka huu hapo mwezi wa sita na kila wakati ananiulizia uwezekano wa kuja kuishi nami huku mwanza soon akimaliza mtihani wake! But nimekwisha mkataalia proposal yake! sijui kunakitu gani nyuma ya pazia!! Na kama akiendelea itabidi ni mwache aende zake kwa wenye kumudu hzo speed alizo nazo! Na sio kwamba sina gegedeo! Nimegegeda, but now i have decided to settle for my future life na ukizingatia ndo na mwaka mmoja tangu nimalize pale ifm!
 
Mtoto akililia wembe MPE. Na usimwache mwenza wako na hamu ya mtoto.
 
My dear, i have been telling her those staff but she dont want to here those stories! Na ndo anamaliza mwaka huu hapo mwezi wa sita na kila wakati ananiulizia uwezekano wa kuja kuishi nami huku mwanza soon akimaliza mtihani wake! But nimekwisha mkataalia proposal yake! sijui kunakitu gani nyuma ya pazia!! Na kama akiendelea itabidi ni mwache aende zake kwa wenye kumudu hzo speed alizo nazo! Na sio kwamba sina gegedeo! Nimegegeda, but now i have decided to settle for my future life na ukizingatia ndo na mwaka mmoja tangu nimalize pale ifm!

act like man kama unaona hauko tayari kumuoa kwa sasa acha....kama uchumba wenu ni muda mfupi kuna mambo unataka kujua kutoka kwake acha...DONT RUSH IN LOVE....ukifanya makosa leo yatakusumbua maisha yako yote na aje kuishi na wewe kwa misingi ipi??hamjafunga ndoa??hujui kwao??wewe ndo mzazi wake??
ishi kwa misimmo yako ,
ila usije kuwa ushampekuwa kama sufuria la ubwabwa wa shughuli mlipokuwa ifm..na pia mna mahusian ya more than 1 years
 
kumuacha sio suluhisho, kaeni pamoja mjue kila mtu ana ajenda gani kwa mwenzie, kuna mda demand zetu na zenu tofauti sana, me kila siku naamini waanume waoga ndoani, hata kama si mwaka huu bt mkidiscus unaweza punguza waiting period kutoka 5 hadi 3 years
 
Mwezio yupo tayari kuwa na mtoto...Kama wewe hutaki basi sio umtangazie...Huna adabu...

Kusoma na kuwa na mimba si hoja wapo wengi tuu vyuo vikuu na wana watoto..Elimu haina mwisho...
Km wewe humtaki na huna malengo nae sepa...Kumtangazio mwenzio hivyo wkt anahope wewe ndio mwenzio sio ustaarabu inaelekea hata elimu huna ndio maana upo hivyo sababu elimu inasaidia kumfumbua mtu kifikra

Nilitaka aje awe mama watoto wange siku za baadae ila sio kwasasa na ndo maana sijataka hata kushiriki nae! But nashangaa kasi anayokuja nayo hasa kipind hiki anachokwenda maliza chuo!
 
Mimba tayari anayo ni si yakwako sasa anataka ukamle baada ya kauli yake ya kutaka mimba ili akuchomekee kuwa tayari ishanasa ni yako kumbe anakuona -----
 
Si kataka wee mpe tu!Si huna future nae mpe tu!Ni zawadi yake mpe weee!mpe mchuzi mwenzako!!!
 
Kuna njemba ishamtia mimba anataka akupe zigo hilo.....sure!
 
Back
Top Bottom