new generation
JF-Expert Member
- Mar 14, 2012
- 815
- 1,713
ki
swali zuri umemuuliza wacha atupe jibukwani wewe una ajenda gani na yeye!
Kwanini useme hii ni News Alert?
unamwalert nani sasa?
kwani wewe una ajenda gani na yeye!
Huna uwezo wa kumpa ujauzito??
basi mpotezee hakufai!Nilitaka aje awe mama watoto wange siku za baadae ila sio kwasasa na ndo maana sijataka hata kushiriki nae! But nashangaa kasi anayokuja nayo hasa kipind hiki anachokwenda maliza chuo!
Nilitaka aje awe mama watoto wange siku za baadae ila sio kwasasa na ndo maana sijataka hata kushiriki nae!
Habarin za kwenu wana jamvi?? Matumaini mko poa! Jaman nina demu yuko pale ifm! Sasa ni miezi mitano nipo nae kama mpenzi! Na yupo mwaka wa tatu anamaliza mwezi sita! Sasa kwa sasa hv nimeanza kumuona ananisumbua! Maana kila wakat ananiambia anataka mimba eti anataka kuzaa, before wakati hatujawa wapenzi alikua anadai awezi zaa kabla ya ndoa! But kwa sasa ananisumbua sana yaan anataka ujazito ili mradi aitwe mama watoto wangu! Jaman ana ajenda gani ya siri nyuma ya hyo mimba?