whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,928
- 9,449
- Thread starter
-
- #141
Nimemkwepa sana maana alinisaka kwa kasi, na kosa nililofanya ni kuongea maneno mengi tulipokutana.Achana nae hisia zisizidi akili , cjui kipi huelew apo aanh unakera [emoji51][emoji51][emoji51] elewa ... Ubao unasoma 1-0 hutoboi umeshindwa miaka 10 utaweza sasa
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
“Acha ku-panic”Kwa hiyo jumla ni miaka 15? Acheni kuwazeesha watoto wa watu. Subiri haya mnayofanya watafanyiwa watoto wenu wa kike mtaona jinsi roho inauma. Karma
Haiwezekani tenaHaitokaa itokee aache mawasiliano na baba wa mtoto,,kumbuka wameshea damu hapo na shida ndo inaanzia hapo,ingekua hajazalishwa angalau,lkn yule jamaa mfupi aliekuumiza miaka mitano ilopita ndio huyo huyo atakuja kukuumiza tena kwa kigezo cha kumtembelea mwanae.
Ni kweli, maana kama angeona nampotezea muda angeondoka mapema,“Acha ku-panic”
Mimi nimekaa uchumba na mke wangu kiasi cha miaka nane (eight years) sasa hivi anakula good time,hiyo laana yako hapo haiwezi mkuta mtu makini sometimes watu wanaogopa kuchukua watoto wa watu wakawalaze njaa that's why wanawaambia msubiri ninyi mnajiona cake sana kwamba mtapata nje ya wale watafutaji.
Kwa akili hizo mmekwisha!!!
Hakuna kuondoka mapema huyo wa kuondoka mapema nae hana akili,mwanamke makini lazima aijue na aikubali hali ya mwenzake akiambiwa subiri ni-set jambo fulani anasubiri.Ni kweli, maana kama angeona nampotezea muda angeondoka mapema,
Kwani unamchukuliaje fundi gate?Kwani jamaa angeshindwa kumuoa? Au ndo yale ya kutaka harusi kama ya Nandi na Bilnass wakati bwana wako fundi mageti?
Mwamba!!!Mi naona kama moyoni kwako bado ana nafasi mchukue umuoe.. hakikisha unamuhudumia mtoto kama wako, zile elfu 50 zisitishwe na aache mazoea na mzazi mwenzie.
Kwa hiyo huko alipokwenda aliipata hiyo ndoa !?Hakuna mwanamke anaweza kukuvumilia ujipange kumuoa kwa miaka 10 usimlaumu bure.
Shida tunawalaumu kina mama bila kuwaza upande wa pili. Wewe unaweza ona ndoa sio ishu kuuuuubwa ila kwa kina mama huwa ni kitu sensitive sana. Umekaa nae miaka 10 huo sio uchumba tena ni kitu kingine. Kwani lazima umuoe kwa harusi kubwa, ungefunga nae ndoa nakuhakikishia huyo mama angekuvumilia kwa tabu na raha zako.
Ukishakuwa na mwanamke ambae age inasogea ndoa huwa ni sensitive sana. Kama unampenda muoe kisha muendelee kutafuta maisha pamoja.
Akimuoa tu AMEKWISHAI see your love in her!!
Muoe nafsi yako iridhike mzee babae!
Asilimia kubwa wanaozalishwa ni sababu ya tamaa, anafuata mali za chap chap anaishia kutemwa na mtoto juu,Mwamba!!!
Unamshaurije mwanaume mwenzako kitu kama hiki?huyo ni malaya kama malaya wengine tofauti yake na wale wanaojipanga barabarani ni yeye amezalishwa hakuna kingine.
Huyo tena atupe a-block kabisa asiruhusu mazoea ya kijinga wanawake shukrani hawana,take it from me bruh!!!
Unampotosha huyo adhabu aliyoipata inamtosha hapo ni jamaa kukaa nae mbali 100metre hakuna kumchekea tena hafai hata kuwa mchepuko.Fanya mpango umzalishe mtoto wa pili lakini usimuoe.
Huyo mtu hana hisia za dhati kwako lakini kibaya zaidi hana misimamo.
Amejaa tamaa, kifupi wakati anaenda kwa mshikaji, jamaa alikuzidi maisha na pangekuwa pametulia usingemuona katika maisha yako.
Hivyo hiyo fisi iongezee mzigo halafu tafuta kigori uoe.
N.B Mimi na mke wangu tulikuwa kwenye mahusiano kwa muda wa miaka Tisa(9).
Mambo yalivyokaa mswano tukafunga ndoa na sherehe aliyotaka ila huko mwanzoni ilikuwa kusaga na rhumba
Ungekuwa wewe ungeweza , Mtu kakusaliti na kazaa na mwanaume aliye kusaliti halafu urudiane ,!? Hiyo sio sifa ya kiumeYes siyo kila single maza hajitambui mkuu, makosa kila mtu anakosea, na kuna kujifunza kutokana na hayo. Ampe nafasi nyingine.
Unaachana nae then still unasubiri Nini kufuta digits zake ,Mwanamke akikuacha lazma akufatilie kila kona kuanzia whatsapp, facebook, insta yani atataka ajue una nini ama umepata demu tena. Akiona unapost majungu tu anajua kakuweza [emoji23][emoji23][emoji23]!
Ana kapost kabwana kake kenye Crown
Kama ni destiny yao watakua pamoja tu no matter what!! Labda jamaa amkazie though bado anamkubali na kumpenda piaAkimuoa tu AMEKWISHA
na yule kicheche atasema nimekuweza jamaa ataonekana Hana option bwegemtozeni
Mtoa post amesema kuwa ktk hiyo miaka 10 huo mwaka wa mwisho wa 10 Alisha muambia kuwa anataka kumuoa na alishaanza huo mchakatoVipi nayeye kumuweka rehani miaka 10, kama ni mtoto yupo darasa tano kabisa.
Hata kama hajaoa asirudiane nae [emoji16]Sasa hivi ushaoa??
Mimi mbona sinaga hizoHasa wanaume akimtosa msichana anatamani apate ka jamaa ka hovyo hovyo na akipata tofauti na alivyoomba huumia sana nakuishia uhuni tu na tamaa ya pesa vilimpeleka kumbe roho inauma.[emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ata kufedhehesha