Anataka kuterminate ujauzito.

Kwanini aogope kumwambia mwenye mimba wakati hakubakwa?

Binafsi sikubaliani na suala la kutoa huo ujauzito.
 
Kama yeye binafsi anaona haridhii kuzaa huyo mtoto ni bora afanya termination mapema b4 it's too late. Watu wanasema eti "we ungetolewa ungekuwa hapa?!!" Well duniani kuna nini cha maana saana, we'll all die anyways.
 
Aaafu akija kuolewa anaanza kumhangaisha mwanaume kwenda Hadi kwa waganga kutafuta watoto.
Kumbe anajua injini alishaishusha mpaka ikajaa vumbi.
Wanawake wachawi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ahaa kumbe ngono ni starehe mnayoshiriki wawili, mbona mwanaume tu ndo anaombwa pesa, kabla na baada ya ngono The iron batterfly
 
Anatakiwa achukue charge ya kuilea hiyo mimba.
Si kaipata bila kujadiliana na muhusika?
Kinachomshinda Ni nini?
Yeye ajue kuwa mimba Ni yake huyo mwanaume akikubali sawa akikataa anakuwa keshajiandaa kisaikolojia kuendeleza maisha.
Wanawake wamekuwa wanalia lia mno kutelekezwa na watoto.
Hata wamama wa zamani baba alikuwa Ni ceremonial leader wa familia tu.
Kila kitu mama ndio walikuwa wanajua shoo nzima.
Wanachojua siku hizi Ni kulilia haki sawa na kutaka kumiliki wanaume tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe una akili sana
 
Wadau am sorry kuileta hii mada sensitive humu ila ilikuwa katika kupata ushauri.

Nimemwonyesha mhusika uzi huu na comments za wadau wote,amekubali maoni ya wengi manake wanasema sauti ya wengi ni sauti ya Mungu,so amebadili uamuzi.Na anawaomba mumuwie sana radhi.Hata itoa mimba ila hatomwambia mhusika manake anaogopa kutelekezwa again.

Asanteni kwa kila aliyetoa ushauri wa kujenga,tumwombee Mungu amlinde na ampatie mwanae wa pili salama salimini.Usiku mwema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa naona kama tayari mimba ishatolewa hivyo nafsi zinawasuta hivyo mnataka angalau mpate huruma ya watu wakiwaambia kilichofanyika ni sahihi.

Kushika mimba nje ya ndoa kiimani(kwa waamini) na hata kwa jamii si sahihi hivyo hivyo kuitoa mimba hiyo haitosahihisha kosa la kwanza la uzinzi. Hiyo mimba ni matokeo ya mchakato mrefu sanaaa, sio ajali. Hivyo kama aliumia kihisia alipaswa kuchukua tahadhari kweli kweli ili hilo lisitokee tena.

(Kama bado ipo) Kwakuwa lishatokea basi awe tu responsible kwa makosa yake na sio kugharimu maisha ya kiumbe kisicho na hatia.
Amwambie muhusika then wao ni watu wazima watajua jinsi ya kuendelea kutokea hapo ila asithubutu kutoa mimba, damu ni nzito itamuandama na anaweza pitia maumivu makali ya kihisia kuliko hayo aloyapata awali.
 
Mwanamke ambae amezirai kwa zaidi ya miaka 10 amejifungua wakati akiwa ktk hali hiyo ktk kituo cha afya mjini Phoenix Marekani, inaelezwa Polisi wa Phoenix wanataka Wafanyakazi Wanaume wa kituo hicho wapimwe DNA ili kumbaini Baba wa Mtoto huyo.#MillardAyoUPDATES (CNN) millardayo on Twitter
 
Ooooh!!
Kutomwambia muhusika ni kosa pia maana huyo mtoto hakujitunga mwenyewe, ana haki ya kulelewa na wazazi wote wawili. Kwanini aamue kuwa ataumizwa kihisia kabla ya kumwambia mhusika kwanza?
Awe mtu mzima basi na yeye!
 
Ooooh!!
Kutomwambia muhusika ni kosa pia maana huyo mtoto hakujitunga mwenyewe, ana haki ya kulelewa na wazazi wote wawili. Kwanini aamue kuwa ataumizwa kihisia kabla ya kumwambia mhusika kwanza?
Awe mtu mzima basi na yeye!
Labda ana-date na irresponsible man!! Ila kumwambia ni muhimu pia, awe responsible au asiwe ni muhimu kujua.
 
Labda ana-date na irresponsible man!! Ila kumwambia ni muhimu pia, awe responsible au asiwe ni muhimu kujua.
Kwakuwa alishaamua kuchagua irresponsible man awe baba wa mwanae basi amwambie tu then kama nae atakimbia basi atajua cha kufanya ila tayari ashamwambia.
Anaweza shangaa kumbe mtoto kaja na baraka zake alafu akaziondosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…