Anataka kusoma meseji zangu

Anataka kusoma meseji zangu

Erickson0708

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
207
Reaction score
34
Wana jf naomben mawazo jpo kidogo kwa haya yalio nisibu....

Leo nilikuwa ndan na mpnz wangu baada ya kupeana raha msg iliingia kweny simu yangu akatak aisome nikakataa tukanyang'anyana simu hatimae nilifanikiwa kuinusuru simu yangu na hakusoma kitu chochote nikasepa zangu.

Sasa usiku huu amekuwa akituma msg za masikitiko kwa kitendo kilichotokea.

Mimi ninacho waomba wana jf mnipee mawazo kuwa nimpe sababh gan ya mm kutompa simu asome zile text??? Bila kusahau zile text zilikuwa za mpenzi wangu mwingine
 
Nakupa pole ila ujue ni vyema kumwambia ukweli hata hata kidogo.Mwambie zilikua message za mpenzi wako wa zamani ila kwa heshima uliona bora uzifiche.Kama anajua nini sitara pengine aelew hao maelezo
 
Sasa mkuu kama unahuyo mchepuko aliyekutumia text, kama ni bora zaidi kuliko huyo mrembo uliye fanya nae kwanini usibaki na mchepuko?

Kama mchepuko sio bora kwanini usimwache huyo mchepuko.

Sasa kuepusha usumbufu.

Kama unampenda uliyenaye na sio mchepuko, NENDA MUELEZE UKWELI KWAMBA JANA ALIKUWA NI MWANAMKE MWINGINE aliye ni text, naomba samahan mpenz wangu, na mpigie simu yule mchepuko mwambie muachane

Kama unampenda mchepuko zaid, basi huyo anaelalamika muache, usimjibu endelea na mchepuko

Acha kuchezea chezea watoto wa watu, mkuu
 
Mkuu umemaliza, unaeza kulala tu kwa saizi.
 
Usimjibu kitu, baki na aliyekutumia sms...
usimpotezee muda mtoto wa watu...

Acha umalaya....
 
Hakuna upuuzi ulio upuuzi mtupu, Baki njia kuu aiseeee.....
 
sasa unataka tukushauri nini na umalaya wako.achana na tabia hiyo na uoe, usiharibu mabinti za watu
 
Wana jf naomben mawazo jpo kidogo kwa haya yalio nisibu....

Leo nilikuwa ndan na mpnz wangu baada ya kupeana raha msg iliingia kweny simu yangu akatak aisome nikakataa tukanyang'anyana simu hatimae nilifanikiwa kuinusuru simu yangu na hakusoma kitu chochote nikasepa zangu.

Sasa usiku huu amekuwa akituma msg za masikitiko kwa kitendo kilichotokea.

Mimi ninacho waomba wana jf mnipee mawazo kuwa nimpe sababh gan ya mm kutompa simu asome zile text??? Bila kusahau zile text zilikuwa za mpenzi wangu mwingine

wewe mbona unakuwa muoga hivyo? ungemuachia azisome tu. kama ungefanya hivyo ndio ningekupa ushauri namna ya kumuambia.
 
Manzi wangu ana free access na simu yangu, muda wowote. Ila siku akinipa notion kwamba huwa anakagua kujua kama mimi ni mwaminifu ama lah, ndiyo siku tuna-sign off.
 
Tafuta msg nzuri kuliko zote toka kwa michepuko yako then muoneshe then mwambie hiyo ndo sababu hukutaka aione maana hakuna njia yeyote ataweza kukuamini unless ni msukuma tena Wa ndani ndani kule
 
wana jf naomben mawazo jpo kidogo kwa haya yalio nisibu....

Leo nilikuwa ndan na mpnz wangu baada ya kupeana raha msg iliingia kweny simu yangu akatak aisome nikakataa tukanyang'anyana simu hatimae nilifanikiwa kuinusuru simu yangu na hakusoma kitu chochote nikasepa zangu.

Sasa usiku huu amekuwa akituma msg za masikitiko kwa kitendo kilichotokea.

Mimi ninacho waomba wana jf mnipee mawazo kuwa nimpe sababh gan ya mm kutompa simu asome zile text??? Bila kusahau zile text zilikuwa za mpenzi wangu mwingine

pimbi wewe,acha umalaya tulia na mmoja
 
Back
Top Bottom