Miss Jay
JF-Expert Member
- Jun 2, 2013
- 211
- 174
Sasa mkuu kama unahuyo mchepuko aliyekutumia text, kama ni bora zaidi kuliko huyo mrembo uliye fanya nae kwanini usibaki na mchepuko?
Kama mchepuko sio bora kwanini usimwache huyo mchepuko.
Sasa kuepusha usumbufu.
Kama unampenda uliyenaye na sio mchepuko, NENDA MUELEZE UKWELI KWAMBA JANA ALIKUWA NI MWANAMKE MWINGINE aliye ni text, naomba samahan mpenz wangu, na mpigie simu yule mchepuko mwambie muachane
Kama unampenda mchepuko zaid, basi huyo anaelalamika muache, usimjibu endelea na mchepuko
Acha kuchezea chezea watoto wa watu, mkuu
Sumbai nakupenda bure aisee