mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,967
Habari wana jf.
Jamani nawakilisha uzi huu kwa niaba ya rafiki yangu kipenzi.
Yeye ana demu wake Ni mrangi, mtoto mzuri, mweupe, modle, meno tu ndio meusi kdg.... (hahaha)
Ameniuliza vip kuhusu tabia za watu wa kabila hili?. Sasa kwakuwa siwafahamu nikaona nulete huu uzi.
Asanteni.
Ndo Mimi zee mwenye kasumba zake.
[emoji87] [emoji87]Warangi na wanyaturu wanatofautiana lugha tu ila tabia zote zinafanana
Eti kwa niaba ya rafiki yangu....si umfundishe kutumia JF! acha uongo ......we oa tu Kabila sio mtu......Mtu anakuwa na tabia fulani kutokana na malezi na makauzi!Habari wana jf.
Jamani nawakilisha uzi huu kwa niaba ya rafiki yangu kipenzi.
Yeye ana demu wake Ni mrangi, mtoto mzuri, mweupe, modle, meno tu ndio meusi kdg.... (hahaha)
Ameniuliza vip kuhusu tabia za watu wa kabila hili?. Sasa kwakuwa siwafahamu nikaona nulete huu uzi.
Asanteni.
Ndo Mimi zee mwenye kasumba zake.
Anataka kuaoa kabila au mke.Habari wana jf.
Jamani nawakilisha uzi huu kwa niaba ya rafiki yangu kipenzi.
Yeye ana demu wake Ni mrangi, mtoto mzuri, mweupe, modle, meno tu ndio meusi kdg.... (hahaha)
Ameniuliza vip kuhusu tabia za watu wa kabila hili?. Sasa kwakuwa siwafahamu nikaona nulete huu uzi.
Asanteni.
Ndo Mimi zee mwenye kasumba zake.
Nani kakudanganya? Oa mke na sio kabila.Kama hutaki stress oa kabila lako ndugu yangu.
Wakati mwingine hupunguza stress.