[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Is this one or?? Natafuta msaada ustawi wa jamii - JamiiForums
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwa hiyo thread ya catalliya imezalisha hili wazo lako !?
Hahaa daah
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na ali comment kuleKwa hiyo thread ya catalliya imezalisha hili wazo lako !?
Hahaa daah
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na ali comment kule
Vipi wakati unapata Utamu uliwashirikisha ustawi wa jamii mkuu?
CC Zero IQ
Nipo kwenye mtihani sana siku hii ya leo Mr Zero,
Huyu binti nilizaa nae tu ile one take na sikuwa na nia ya kumuoa awe mke wangu,sasa tatizo linakuja kwamba leo amekuja kuninyea hapa kwa maneno ya shombo na kutishia kwamba ananipeleka ustawi wa jamii,
Siyo kwamba sitoi huduma hapana na nafikiri katika vitu ninavyojitahidi kuviangalia na kuhudumia basi ni huyu mtoto,
Hakuna homa inayompata nisimchukue na kumpeleka hospital, hela ya matumizi natoa kadri ninavyopata,
ila tatizo ni kwamba huyu binti anapenda vikubwa akiomba kitu kwa sababu ya mtoto ukimwambia asubiri kidogo umtafutie anang'aka yeye anataka papo kwa papo,
Kiukweli hali si hali na hivyo anaona naingiza kidogo kitu kwenye kibanda changu cha kiepe anajua basi kila siku nakuwa na hela, anasahau kwamba nina majukumu mengine nje ya mtoto,
Mi nilimwambia kitu kimoja tu aende uko ustawi wa jamii kama anaona huduma zangu hazimtoshelezi,
CC Zero IQ
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Labda na ww tukuulize vipi wakat wa kupata utam hukujua km kuna haya yatatokea🤪[emoji16][emoji1493]♂️[emoji1493]♂️[emoji1493]♂️
Labda na ww tukuulize vipi wakat wa kupata utam hukujua km kuna haya yatatokea🤪[emoji16][emoji1493]♂️[emoji1493]♂️[emoji1493]♂️