Kifulambute
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,539
- 764
mkopehse hela ili aweze kulipa deni au nenda kwa hiyo benki eleza madhara anayoyapata mteja wao kwa usumbufu wanaompatia kufuatilia deni lao wakati hana kaziihabari za asubuhi great thinkers, nisaidieni kwa ushauri wenu kwa huyu rafiki yangu maana naona anaelekea shimoni na jini mauti anamsumbua.
Alikuwa anafanya kazi shirika moja hapa mjini na kwa kweli kwa background yake amepambana sana kuwasaidia wazazi wake na yeye pia, na wanamtegemea 100%, mwezi wa nane alisimamishwa kazi na alikuwa na mkopo bank(unsecured loans guaranteed na employer), sasa ametafuta kazi hajapata na bank wanamsumbua...juzi nilienda kumtembelea kwake kiukweli anakoelekea siko kuzuri maana nilijaribu kumdadisi namna gani amejipanga kurudisha mkopo na kuendelea kupambana...inaonesha amekata tamaa ya kuishi. Kwa bahati tu siku hiyo niliwahi alikuwa kanunua dawa ya panya na alikuwa ready kuinywa nikamshauri sana akawa kama amenielewa..lakini jana tena mke wake kanipigia alitaka kunywa dawa za variam...sasa mi kama rafiki wake wa karibu nakuwa busy kumshauri..naombeni mniongezee maneno ya kumshawishi na.kumnusuru maisha yake
Kama kweli unampenda
1.Mtafutie kazi ingine
2.Tafuta hela mkafute deni bank.
kwani akifa ndo atakuwa wakwanza?
kwani akifa ndo atakuwa wakwanza?
Habari za asubuhi great thinkers, nisaidieni kwa ushauri wenu kwa huyu rafiki yangu maana naona anaelekea shimoni na jini mauti anamsumbua.
Alikuwa anafanya kazi shirika moja hapa mjini na kwa kweli kwa background yake amepambana sana kuwasaidia wazazi wake na yeye pia, na wanamtegemea 100%, mwezi wa nane alisimamishwa kazi na alikuwa na mkopo bank(unsecured loans guaranteed na employer), sasa ametafuta kazi hajapata na bank wanamsumbua...juzi nilienda kumtembelea kwake kiukweli anakoelekea siko kuzuri maana nilijaribu kumdadisi namna gani amejipanga kurudisha mkopo na kuendelea kupambana...inaonesha amekata tamaa ya kuishi. Kwa bahati tu siku hiyo niliwahi alikuwa kanunua dawa ya panya na alikuwa ready kuinywa nikamshauri sana akawa kama amenielewa..lakini jana tena mke wake kanipigia alitaka kunywa dawa za variam...sasa mi kama rafiki wake wa karibu nakuwa busy kumshauri..naombeni mniongezee maneno ya kumshawishi na.kumnusuru maisha yake
Kama kweli unampenda
1.Mtafutie kazi ingine
2.Tafuta hela mkafute deni bank.
kwani akifa ndo atakuwa wakwanza?
ni kama watengeneza virus softwares...Yaan watu kama nyie dunian lazima muwepo tu sijui Mungu aliwaweka kwa kusudio lipi!!!
ni kama watengeneza virus softwares...
Yaan watu kama nyie dunian lazima muwepo tu sijui Mungu aliwaweka kwa kusudio lipi!!!